Lt.Gen.Kayumba Nyamwasa,Karegeya behind terror attack

babukijana

babukijana

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2009
Messages
5,418
Likes
1,894
Points
280
babukijana

babukijana

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2009
5,418 1,894 280
By Gashegu MuramiraKIGALI -
The former High Commissioner to India, Lt. Gen. Kayumba Nyamwasa and Patrick Karegyeya, are accused of having been the brains behind the recent grenade attacks in the city that left two dead and scores injured.
Speaking to journalists yesterday, Prosecutor General Martin Ngoga, revealed that the two former senior officers are charged with acts of terrorism and causing insecurity in the country.
"We have evidence that both of them were involved in acts that led to state insecurity which include grenade attacks in Kigali city and other parts of the country," the Prosecutor General said.
He added that before Gen. Kayumba fled to South Africa through Uganda last week, he had been questioned about the charges.
"Karegyeya was not questioned about those acts because he has been away for some time".
Karegyeya fled the country after completing an 18-month jail sentence for desertion and insubordination. He was also stripped of his military ranks by the Military Tribunal.
Ngoga confirmed media reports that the two officers are in South Africa, adding that it is where they have been meeting to plan their acts of insecurity in Rwanda. Ngoga said that South Africa was cooperating to have the officers extradited.
"We are happy with the legal procedures so far, and the response from South Africa up to now is good. Whatever follows, we think will lead to their arrest and being handed over to judicial authorities" Ngoga said.
"It's still an issue that is developing at technical level between us and South African authorities and the process is ongoing".
The Ministry of Foreign Affairs last week announced, in a statement, that "Lt. Gen. Kayumba Nyamwasa ceased to represent the Republic of Rwanda to the Republic of India and any other country or institution, with immediate effect".
Ends
source:newtimes
 
J

JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Messages
14,399
Likes
8,793
Points
280
J

JokaKuu

Platinum Member
Joined Jul 31, 2006
14,399 8,793 280
..kwani Kayumba Nyamwasa ni Mhutu?
 
M

mmakonde

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2009
Messages
967
Likes
20
Points
0
M

mmakonde

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2009
967 20 0
Matatizo ya Rwanda hayatakwisha ,mpaka kuwe na demokrasia halisi.
Watutsi wameidominate nchi hiyo miaka na miaka.
Tukumbuke karibu 85% ya wananchi wa Rwanda ni WaHutu.
 
babukijana

babukijana

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2009
Messages
5,418
Likes
1,894
Points
280
babukijana

babukijana

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2009
5,418 1,894 280
..kwani Kayumba Nyamwasa ni Mhutu?
no ni mtusi,na ndio aliyeongoza mapigano ya rwanda 1994 na 1998 hapo congo,ni jamaa ambaye kagame anamwamini sana kwenye mambo ya jeshi,wameshageukana sasa.
 
M

mmakonde

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2009
Messages
967
Likes
20
Points
0
M

mmakonde

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2009
967 20 0
no ni mtusi,na ndio aliyeongoza mapigano ya rwanda 1994 na 1998 hapo congo,ni jamaa ambaye kagame anamwamini sana kwenye mambo ya jeshi,wameshageukana sasa.
Kagame kumbuka alifall out na Mu7 though wote walikuwa pamoja kwenye harakati zao
 
K

Koba

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2007
Messages
6,143
Likes
506
Points
180
K

Koba

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2007
6,143 506 180
Matatizo ya Rwanda hayatakwisha ,mpaka kuwe na demokrasia halisi.
Watutsi wameidominate nchi hiyo miaka na miaka.
Tukumbuke karibu 85% ya wananchi wa Rwanda ni WaHutu.
......hizi story za vijiweni kwa wacheza bao hapa sio mahali pake!
 
babukijana

babukijana

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2009
Messages
5,418
Likes
1,894
Points
280
babukijana

babukijana

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2009
5,418 1,894 280
Kagame kumbuka alifall out na Mu7 though wote walikuwa pamoja kwenye harakati zao
ndio na jamaa pia kwenye harakati zake za kutoroka kapitia hapohapo uganda na jamaa wamesema hawajamuona ila inteligensia wao wanahisi kapita mafichoni mpaka kenya kisha south africa,kumbuka pia kayumba na mshauri wa museveni,wote wametajwa kuwa nyuma ya chama cha upinzani green party dhidi ya kagame.kuna mchezo mchafu unajificha hapo.
 
Bongolander

Bongolander

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2007
Messages
4,882
Likes
61
Points
135
Bongolander

Bongolander

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2007
4,882 61 135
Kila lenyee mwanzo lina mwisho, inawezekana huu ni mwanzo wa mwisho wa Kagame. Kagame mwenyewe ana kinga kutokana na kuwa ni Rais, lakini yuko kwenye list ya wanaotakiwa kuadhibiwa kutokana na mauaji ya halaiki. Kuna watu kama elfu 20,000 hivi walichinjwa kwa order yake, nasikia hata akitoa order watu wauawe huwa anachekelea, so for sure kuna watu wanachuki. Twin grenade attack is not something which can suprise anyone who knows the history of Rwanda.
 
babukijana

babukijana

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2009
Messages
5,418
Likes
1,894
Points
280
babukijana

babukijana

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2009
5,418 1,894 280
Kila lenyee mwanzo lina mwisho, inawezekana huu ni mwanzo wa mwisho wa Kagame. Kagame mwenyewe ana kinga kutokana na kuwa ni Rais, lakini yuko kwenye list ya wanaotakiwa kuadhibiwa kutokana na mauaji ya halaiki. Kuna watu kama elfu 20,000 hivi walichinjwa kwa order yake, nasikia hata akitoa order watu wauawe huwa anachekelea, so for sure kuna watu wanachuki. Twin grenade attack is not something which can suprise anyone who knows the history of Rwanda.
kinachoshangaza mbona wapiganaji wengi waliokua mstari wa mbele RPF wanakimbia na kwenda mafichoni?
 
K

Koba

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2007
Messages
6,143
Likes
506
Points
180
K

Koba

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2007
6,143 506 180
Kila lenyee mwanzo lina mwisho, inawezekana huu ni mwanzo wa mwisho wa Kagame. Kagame mwenyewe ana kinga kutokana na kuwa ni Rais, lakini yuko kwenye list ya wanaotakiwa kuadhibiwa kutokana na mauaji ya halaiki. Kuna watu kama elfu 20,000 hivi walichinjwa kwa order yake, nasikia hata akitoa order watu wauawe huwa anachekelea, so for sure kuna watu wanachuki. Twin grenade attack is not something which can suprise anyone who knows the history of Rwanda.
...anatakiwa na nani?
 
Ben Saanane

Ben Saanane

Verified Member
Joined
Jan 18, 2007
Messages
14,602
Likes
3,895
Points
280
Ben Saanane

Ben Saanane

Verified Member
Joined Jan 18, 2007
14,602 3,895 280
-Kagame nae ni snake
 
Bongolander

Bongolander

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2007
Messages
4,882
Likes
61
Points
135
Bongolander

Bongolander

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2007
4,882 61 135
...anatakiwa na nani?
Mahakama ya mauaji ya halaiki ya Rwanda. Arusha. Lakini kulikuwa na watu wengi ndani ya mahakama, ikiwa ni pamoja na Mama De Ponte, ambao walikuwa wanasema waanze chini kwanza, maana wasingeweza kuwafikisha wengi mahakamani bila support ya serikali ya Rwanda, walihitaji sana support ya serikali. Ilitakiwa kuwa baada ya kumaliza hatua ya kwanza, hatua ya pili ilikuwa ni kuwashughulikia waliaoserikalini.
Lakini wao excuse yao ni kuwa walikuwa wanua ili kusimamisha mauaji, which is stupid excuse.
 
Masanja

Masanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2007
Messages
3,949
Likes
4,887
Points
280
Masanja

Masanja

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2007
3,949 4,887 280
Mahakama ya mauaji ya halaiki ya Rwanda. Arusha. Lakini kulikuwa na watu wengi ndani ya mahakama, ikiwa ni pamoja na Mama De Ponte, ambao walikuwa wanasema waanze chini kwanza, maana wasingeweza kuwafikisha wengi mahakamani bila support ya serikali ya Rwanda, walihitaji sana support ya serikali. Ilitakiwa kuwa baada ya kumaliza hatua ya kwanza, hatua ya pili ilikuwa ni kuwashughulikia waliaoserikalini.
Lakini wao excuse yao ni kuwa walikuwa wanua ili kusimamisha mauaji, which is stupid excuse.

And guess what? it is because of these kind of arguments za mama Del Ponte..that she lost her job! I think she is still bitter about the whole THING but well, politics is the art of compromise!
 
babukijana

babukijana

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2009
Messages
5,418
Likes
1,894
Points
280
babukijana

babukijana

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2009
5,418 1,894 280
And guess what? it is because of these kind of arguments za mama Del Ponte..that she lost her job! I think she is still bitter about the whole THING but well, politics is the art of compromise!
thats a big problem,tatizo jamaa ana trick kali sana,na hao wamarekani na uingereza si wako nyuma yake wanamlinda,yule mama del ponte alipotaka jamaa aletwe mahakamani na watu wake jamaa akacomplain kwamba yule mama hamuamini ni genocidaire denial,mama akapigwa chini,wajerumani na wafaransa waliendelea kufatilia ile arrest warrant ya maofisa wake,jamaa akavunja uhusiano wa kibalozi,si umeona france wamelainika sasa wamegeuza kibao wanamuunga mkono na kuanzia wamemkamata yule mjane mama habyarimana ambaye france walimwokoa kule na kumlinda kwa miaka 15,sasa hivi wamemnyanganya kila kitu na vilevile hawamtaki france na wanataka wamrudishe rwanda akashtakiwe.
 
K

Koba

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2007
Messages
6,143
Likes
506
Points
180
K

Koba

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2007
6,143 506 180
Mahakama ya mauaji ya halaiki ya Rwanda. Arusha. Lakini kulikuwa na watu wengi ndani ya mahakama, ikiwa ni pamoja na Mama De Ponte, ambao walikuwa wanasema waanze chini kwanza, maana wasingeweza kuwafikisha wengi mahakamani bila support ya serikali ya Rwanda, walihitaji sana support ya serikali. Ilitakiwa kuwa baada ya kumaliza hatua ya kwanza, hatua ya pili ilikuwa ni kuwashughulikia waliaoserikalini.
Lakini wao excuse yao ni kuwa walikuwa wanua ili kusimamisha mauaji, which is stupid excuse.
...kagame & RPF was there to fight those evils Interahamwe walioua almost a milion tutsi,hizo consiracy theory za kumuunganisha Kagame na hizo evils forces ni upumbavu wa hali ya juu na hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kuamini huo ujinga,na hakujawahi kuwa na official warrant or any hearing huko Arusha kuhusu Kagame,lakini as the days goes on ukweli unazidi kujitokeza ndio maana sasa hata hao kina Habyarimana wamegeukwa na France,na Kinshasa wamerudisha ubalozi na Kagame na kushirikiana naye kijeshi na hizo story za kagame kupigana Congo kwa ajiri ya madini ni story nyingine za FDLR ambazo hazina ukweli wowote,Kagame hana shida na hana haja ya kusikiliza story za watu waliokuwa kimya wakati walipokuwa wanauliwa kama kuku,hawa watu wamekuwa wakimbizi tangu 1959 na wameuliwa zaidi ya milioni moja kwa sababu ni watutsi,the only guy aliyekuwa anasema against evils za serikali ya Rwanda ni Nyerere tuu viongozi wanafiki wote majirani walikuwa kimya.
 
Mkuu inawezekana kweli unayosema. Sijasema arrest warrant ilitolewa, lakini najua kilichokuwa kinaendelea na najua nini kitatokea when the right time comes. The fact kuwa RPF were also part of genocide, whether for stopping it or whatever is not in question. jaribu kutafuta habari kuhusu watu elfu 20 waliouawa kwa order ya Kagame na uangalie na uidigest critically, then you will know what actaually happened. Sidhani kama kuna anayejua ukweli kuhusu mauaji ya Rwanda kuliko wanyarwanda wenyewe waliokuwa in line, hata Kagame mwenyewe wakati yanaanza hakuwepo Kigali yeye hawezi kuwa ndie anajua kuliko wengine wote, na hawezi kuwa haki ya kipekee kudefine genocide ya Rwanda, or history of Rwanda for that matter.

Kama unajua ni kwanini wahutu waliwaua watusi, unaweza vilevile kujua ni kwanini watusi wameua wahutu. Genocide haina maana tu ya majority kujaribi kueliminate minority, hata kama minoty wanafanya hivyo, the name is the same. Ukisikia argument ya wahutu kuhusu kuua watusi, na ukisikia ya watusi kuua wahutu basi utajua nini kipo na nini kitakuwepo Rwanda, hata kesho. Pamoja na kuwa ni Rais Mzuri kwa Rwanda na wanamhitaji, hii haina maana kuwa Kagame ni Leviathan au mtu mwenye devine right ya kusema kila analopenda kuhusu Rwanda, he can not always be right and others be wrong always. Hakuna asiyejua role ya Ufaransa na Ubelgiji kwa evils zinazotokea Rwanda, na kwa anayejua mchezo wa siasa for sure anajua nini maana ya kurudisha uhusiano wa kibalozi kati ya nchi moja na nchi nyingine, lakini sio kusema eti kwa sababu wameona Kagame is right and they are all wrong.

Kuna watu wanajua kabisa ni nani aliwaua Laurent Kabila, Juvenal Habyarimana na Ntaryamira, kukaa kwao kimya hakuna maana kuwa wanamwogopa muuaji au wako wrong. They have more at stake on the other side of the border than of the three lost lives, that is also the reason why the did not even care to stop the genocide.
 
Bongolander

Bongolander

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2007
Messages
4,882
Likes
61
Points
135
Bongolander

Bongolander

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2007
4,882 61 135
thats a big problem,tatizo jamaa ana trick kali sana,na hao wamarekani na uingereza si wako nyuma yake wanamlinda,yule mama del ponte alipotaka jamaa aletwe mahakamani na watu wake jamaa akacomplain kwamba yule mama hamuamini ni genocidaire denial,mama akapigwa chini,wajerumani na wafaransa waliendelea kufatilia ile arrest warrant ya maofisa wake,jamaa akavunja uhusiano wa kibalozi,si umeona france wamelainika sasa wamegeuza kibao wanamuunga mkono na kuanzia wamemkamata yule mjane mama habyarimana ambaye france walimwokoa kule na kumlinda kwa miaka 15,sasa hivi wamemnyanganya kila kitu na vilevile hawamtaki france na wanataka wamrudishe rwanda akashtakiwe.
Mkuu you are damn right, mkono mtupu haulambwi. Rwanda akiamua wale jamaa wasichimbe madini Congo hawatachimba. As long as they give Kagame what he wants, the can enjoy utajiri wa DRC. Otherwise Kagame atamrudisha NKundabwatare.

I wonder mwanamke aliyekimbia nchi siku tatu za mwanzo alihusika vipi na genocide iliyoendelea kwa siku 97
 
Prodigal Son

Prodigal Son

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2009
Messages
972
Likes
82
Points
45
Prodigal Son

Prodigal Son

JF-Expert Member
Joined Dec 9, 2009
972 82 45
Ni ngumu saana kujua nani yuko sahihi kwa hili, Kinachojulikana RPF ndio waliozuia yale mauaji ya halaiki kitu ambacho UN, EU Umoja wa Africa na hata majirani za Rwanda kama Tanzania na Uganda walikuwa wanajua fika kwamba kuna mauwaji yanaendelea,ambao hatujawahi kushuhudia nini hasa kilitokea ni rahisi saana kuwalaumu RPF kwamba hata wao walihusika katika hayo mauwaji, hata tukitafakari kwa kina katika vita vyovyote hata vinavyopiganwa na marekani kunakuwaga na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu ndo maana hata mpaka leo kuna wnajeshi wa marekani wameshtakiwa kwa uhalifu wa kivita huko Iraq,ikumbukwe RPF kwa kipindi hicho was a rebal group na nikwanini msijiulize kama wasingejitahidi kuteka Kigali na watu wangapi wangeuwawa?????
 
licha ya hivyo lakini haikuwa sababu ya wao kuchinja watu pia,ukifatilia vizuri history jamaa walipokua wanaadvance kigali waliua sana,si watusi,si wahutu yaani ilikua ni fagia fagia,na problem ingine ni kwamba mauaji yaliendelea kwa kasi kubwa hata baada ya RPF kuwa madarakani,ndiyo hapo inapokuja kesi ya kumuona kagame kahusika vipi,mpaka inavyosemekana ni kwamba jamaa alikuwa anataka kuweka lever ya minority na majority iwe same percent,pia ukiangalia hili kafanikiwa kiasi.
 
babukijana

babukijana

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2009
Messages
5,418
Likes
1,894
Points
280
babukijana

babukijana

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2009
5,418 1,894 280
Mkuu you are damn right, mkono mtupu haulambwi. Rwanda akiamua wale jamaa wasichimbe madini Congo hawatachimba. As long as they give Kagame what he wants, the can enjoy utajiri wa DRC. Otherwise Kagame atamrudisha NKundabwatare.

I wonder mwanamke aliyekimbia nchi siku tatu za mwanzo alihusika vipi na genocide iliyoendelea kwa siku 97
ni tatizo kubwa sana,ni kama sasa baadae uje umuhusishe mama salma kwenye makosa ya mumewe umshtaki kisa alikua anaongezana na mumewe wakati yuko madarakani,angalia sasa jamaa walivyo pumbavu wamefurahia kweli hatua ya yule mama kuwekwa kizuizini.
 
Forum statistics

Threads 1,238,900
Members 476,226
Posts 29,336,089