Kwa nini nyinyi ndio mnamtolea hizo maana nyingine?? Alsema kuhusu Babu Seya na Mashekh kuwa atawatoa gerezani - watu mkaanza kusema oooh hakuwa na maana hiyo!!! kwani anavyoongea watu hamsikiii pale palee?? Kama alikuwa na maana nyingine kwa nini asielezee hapohapo na aanze kuhangaika kufafanua baadae?? Huyo ni Mdini na hatokuwa na utawala wa sheria - tumeshamstukia.