Lowassa will take this country!!!

Lowassa will take this country!!!

MTAZAMO

Platinum Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
20,152
Reaction score
35,678
Wakuu hii nimeileta huku ili nisipigwe mawe! Kuna vitu baada ya uchunguzi wa kutosha penda tusipende Lowasa atakuwa rais wa Tanzania! Inauma na nilikuwa siamini lakini sasa anashinda! Hutushomoki kwa njinsi hii!!
 
Vitu gani?
Kmailisha maelezo basi ili watu wawe na sababu ya kuunga mkono ama kupinga hoja.
 
mtazamo tu...labda wenye degree zao za fitna wawe wamestaafu..
 
Imwage hadharani hiyo extensive research uliyoifanya mkuu
 
na mimi nimesikia japo inauma na umoja wa vijana wanahusika!
 
Naunga mkono hoja!atashinda vita maana nusu ya wabunge wa ccm niwake,wakurugenzi wengi na wakuu wa wilaya wengi walikuwa wamewekwa na yeye!ila hata umpasue roho JK swaiba wake ni Lowassa!kubali ukatae maana mchezo wote mwongoza picha ni JK!!
 
Lowassa na jk ni maji na mafuta hamna uswahiba hata kidogo...nchi ya lowassa mwaka 2015
 
Du labda aanzishe chama chake ama aamie chama cha upinzani. Tuwone akina riziki wani watakula wapi
 
Yeah, it seems the coast is being cleared for the take over.............lets wait and see !
 
Lowasa asilogwe kuingia upinzani, abaki CCM kujisafisha na kusema hayo maovu mengine ya serikali labda wananchi watamwelewa tofauti na hapo CDM bado itaendelea kuwa tishio na advantage kubwa watachukua kutokana na makundi ndani ya CCm
 
haweze kuanzisha chama
mbona inajulikana wazi kuwa Kijana Nape anatumiwa ili kumwangusha Mh,lakini mwisho wa siku atajikuta anahang na yule aliyemtusi akawa ndie Raisi wake,haya leo yupo Singida kkkt,na waumini wameongezeka baada ya kusikia Mh anaingia Singida

kazi ipo

MLA KUKU WA MWENZIE MIGUU HUMGEUKIA
 
Back
Top Bottom