Lowassa; Watanzania wana akili sana

Mbona heading na content haviendani mkuu?
 
Acha uongo 2008 Chacha wangwe alipofariki ulifanyika uchaguzi mdogo na mchakato wa ndani ya CCM waitara aligombea akashindwa na Kangoye
 
Elimu Elimu Elimu. duu na makusanyo gaya tote tumeshindwa kutoa Elimu yote kabisa buree. Tungeweza had I chuo kikuu kweli? Tufamisheni tungefanyaje hili kupata pesa za kulipia hivyo Elimu bure had I chuo kikuu. Trilioni 1.3 kila mwezi jasho linatutoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…