Huu ni ukweli usiopingika kuwa wapambe wa Lowassa aliotoka nao CCM wanao mnadi jukwaani ndiyo wanaozidi kummaliza badala ya kumsaidia.
Sumaye amekuwa akisema serikali ya CCM haijafanya chochote kwa miaka 54 ya Uhuru wakati huo huo wanasahau yeye na huyo Lowassa wake walikuwa sehemu ya serikali hiyo wanayosema haijafanya chochote kwa miaka 13.
Wanasahau ndani ya miaka kumi ambayo Sumaye alikuwa waziri mkuu yeye ndiyo alikuwa mtendaji mkuu wa shughuli za maendeleo za serikali kwa hiyo anaposema haijafanya chochote bila shaka alihusika kukwamisha baadhi ya maendeleo kwa miaka kumi.
Na hivyo hivyo kwa Edo. Kazi waliyompa Sumaye ya kumnadi hasimu wake mkubwa Edo ni kuzidi kumdidimiza Edo huenda akijua maana alishakaririwa akisema kuwa na yeye ni moja ya wagombea kupitia CHADEMA hivyo hatuwezi kujua mkakati wake ni upi juu ya Edo.
My take; CHADEMA asilia kama mko serious kuwa mnaitaka nchi japo hamuwezi kuipata hata kama CCMwakilala wasipopiga kampeni? Amkeni mumnadi huyu Mzee maana Sumaye anammaliza na si kumsaidia.Japo nyuso zinawasuta lakini jikazeni tu hivyo hivyo no way out.
Hoja tu matusi hayaruhusiwi.
Nawasilisha.
Kipele kinakuwasha
Naona sindano za mzee mzima Sumaye zimegusa hadi katikati ya mifupa.
Kwa bandiko lako hili ni dhahiri wewe ni mchumia tumbo,unadhani huo ushauri wako wa kijinga nani aufuate?
Tokea lini adui akamsifia adui yake?
Ni dhahiri kuwa Sumaye anawanyima usingizi,na bado.
Huu ni ukweli usiopingika kuwa wapambe wa Lowassa aliotoka nao CCM wanao mnadi jukwaani ndiyo wanaozidi kummaliza badala ya kumsaidia.
Sumaye amekuwa akisema serikali ya CCM haijafanya chochote kwa miaka 54 ya Uhuru wakati huo huo wanasahau yeye na huyo Lowassa wake walikuwa sehemu ya serikali hiyo wanayosema haijafanya chochote kwa miaka 13.
Wanasahau ndani ya miaka kumi ambayo Sumaye alikuwa waziri mkuu yeye ndiyo alikuwa mtendaji mkuu wa shughuli za maendeleo za serikali kwa hiyo anaposema haijafanya chochote bila shaka alihusika kukwamisha baadhi ya maendeleo kwa miaka kumi.
Na hivyo hivyo kwa Edo. Kazi waliyompa Sumaye ya kumnadi hasimu wake mkubwa Edo ni kuzidi kumdidimiza Edo huenda akijua maana alishakaririwa akisema kuwa na yeye ni moja ya wagombea kupitia CHADEMA hivyo hatuwezi kujua mkakati wake ni upi juu ya Edo.
My take; CHADEMA asilia kama mko serious kuwa mnaitaka nchi japo hamuwezi kuipata hata kama CCMwakilala wasipopiga kampeni? Amkeni mumnadi huyu Mzee maana Sumaye anammaliza na si kumsaidia.Japo nyuso zinawasuta lakini jikazeni tu hivyo hivyo no way out.
Hoja tu matusi hayaruhusiwi.
Nawasilisha.
Mabadiliko hayaepukiki sasa taa ya kijani imewaka ukawa wanaelekea ikulu njia nyeupe, nyie endeleeni kuzitafuna pesa za Membe kuleni pesa zote za fitna za akina Mwigulu, kigwangala, makonda , Nape na January lakini kuyazuia mabadiliko ni kazi ngumu sana.
RUBBISH!!
TUNAMUHITAJI LOWASSA KWA NAMNA YOYOTE ILE WHEATHER NI MZURI AU MBAYA KWA SABABU WATANZANIA KWA MWAKA HUU ""TUNACHAGUA MABADILIKO"""
ii
Mabadiliko hayaepukiki sasa taa ya kijani imewaka ukawa wanaelekea ikulu njia nyeupe, nyie endeleeni kuzitafuna pesa za Membe kuleni pesa zote za fitna za akina Mwigulu, kigwangala, makonda , Nape na January lakini kuyazuia mabadiliko ni kazi ngumu sana.
Hizi ndiyo akili za timu lowassa. Ushawahi kupima kiwango cha ujinga wako?
Kama wamejiharibia si ndo mshangilie sasa? Umeme majanga nyie wapuuzi bado mnashabikia hilo lichama? Nani kawaroga?Ni kweli kabisa,hata nae lowasa kajiharibia!hakuna mwenye nafuuu