Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,791
- 165,517
Ni mwizi tu. Hana jipya.
Pole mkuu yamepita tugange yajayo tu.Alikuibia nini?
He is boring now!Sema sasa, ndio wakati, ukichelewa issues zitapoa, na uchaguzi ukipita hakuna wa kukusikiliza, wakati ndio sasa...
Kama anajiunga Chadema na wafuasi wake, ndio aseme sasa, sbb akichelewa tu, no one will listen to him....
Lowassa ni mtu wa maamuzi magumu, sasa fanya kwa vitendo... haraka kabisa...
He is boring now!
Lowassa huyu anataka afe then watu waseme amekufa na siri za serikali, stupid idea.
Naona anataka apate public sympathy its only in Tanzania fisadi anaonewa huruma I wish ingekua China huyu mtu hata kwenye mchakato tusingemuona angekua anaitwa Hayati fulani.
Hapa nakuunga mkonoNi mwizi tu. Hana jipya.
Alishaonja "pepo" ya sisi-emu anajiuliza kama maisha yanawezekana akiondoka huko!Hiyo ndio heading katika gazeti la JamboLeo la siku ya leo.
My take:
Lowassa,wakati sahihi wa kuongea ni sasa na si baadae kwani utakuwa umeshasahaulika na issue pia itakuwa imeshapoa na zaidi uchaguzi utakuwa umeshapita otherwise ukae kimya jumla.
Hakika, akikosea timing, hata mie ataniudhi, anajivuta vuta nn bana, yuko kama hajapitia jeshi, amwage ugali wote, CCM si walimwagia mboga... sijui anajiuliza uliza nn.... tena kama haoni hata majirani Kenya walivyofanya coalition haraka kabla ya uchaguzi na kuing'oa KANU... yuko kama anazubaa fulani hivi, wakina Lembeli, Ester Bulaya, Madiwani wengi tu washahamia Chadema, yeye atoe tamko haraka, he has no time, utafikii hajajipanga bana...