Kilichowagombanisha ni unafki, uchu wa madaraka na ubinafsi Sa kutaka kuendelea kukandamiza waTz acha huo mpasuko uendelee hatutaki tustuck tena kwa 50yrs CCM NA KIZAZI CHA NYERERE NI JANGA LA KITAIFAkwa wenye kufahamu ni kitu gani kiliwagombatisha hawa wanasiasa mashuhuri tanzania tukiangalia nyuma walikuwa kambi moja na ndiyo waliyomsaidia kimkakati jk akaukwaa urais sasa iweje leo hawaelewani na kuna uwezekano wa kuwaunganisha wakawa kama zamani mi nadhani itakisaidia ccm kupunguza mpasuko uliopo sasa kwa walioko karibu nao washaurini hakuna lisilowezekana najua uwezekano wa lowassa kuwa rais ni mkubwa sana hi hayo tu
Huyo Laigwanani wa wapi? Huyo ni Olmekiii sio Mmasai ni mmeru typical kupewa rungu leusi na wenye njaa haimanishi ndo Laigwanani labda Laigwanani wa Waarusha sio wamasai na Kama ni Wamasai ni kina Laizer sio MollelLuagwanani Lowassa
Huyo Laigwanani wa wapi? Huyo ni Olmekiii sio Mmasai ni mmeru typical kupewa rungu leusi na wenye njaa haimanishi ndo Laigwanani labda Laigwanani wa Waarusha sio wamasai na Kama ni Wamasai ni kina Laizer sio Mollel
Tatizo la Sitta ni unafiki ambao ulimwezesha kushobokea hali iliyohatarisha uhai wa kisiasa "team mate". Hali hii kwa Kiswahili sanifu inajulikana Kama KUJINYONGA KITABAKA.Mchapakazi na babu wanatakiwa kufahamu sababu ya kuchukiana.Anaewakosanisha yupo,wasipogundua malengo yao hayatatimia.
Familia ya EL walihamia monduli siku Nyingi sana na kukaa pamoja na jamii ya kimasai, as usual wamasai ukikaaa nao kwa muda mrefu bila shida na kufata Milan na desturi zao you become one of them.... Lakini bado ni Olmekiii na hawezi Kuwa Laigwanani ni wazee aw Mila na njaa njaa zao.. That's why hata Batilda Burian walimpa rungu ilhali ni mwanamke.. EL anaweza akawa ni kiongozi Nzuri ila haqualify Kuwa Laigwanani yeye ni Olmekiii big timeHeeh! Hivi kumbe eh? Aisee mimi mbado kujua............sasa ikawaje? by the way waarusha/wamasai/wameru lao ni moja tu?
Familia ya EL walihamia monduli siku Nyingi sana na kukaa pamoja na jamii ya kimasai, as usual wamasai ukikaaa nao kwa muda mrefu bila shida na kufata Milan na desturi zao you become one of them.... Lakini bado ni Olmekiii na hawezi Kuwa Laigwanani ni wazee aw Mila na njaa njaa zao.. That's why hata Batilda Burian walimpa rungu ilhali ni mwanamke.. EL anaweza akawa ni kiongozi Nzuri ila haqualify Kuwa Laigwanani yeye ni Olmekiii big time
kwa wenye kufahamu ni kitu gani kiliwagombatisha hawa wanasiasa mashuhuri tanzania tukiangalia nyuma walikuwa kambi moja na ndiyo waliyomsaidia kimkakati jk akaukwaa urais sasa iweje leo hawaelewani na kuna uwezekano wa kuwaunganisha wakawa kama zamani mi nadhani itakisaidia ccm kupunguza mpasuko uliopo sasa kwa walioko karibu nao washaurini hakuna lisilowezekana najua uwezekano wa lowassa kuwa rais ni mkubwa sana hi hayo tu
Nachotaka kusema ni Kuwa EL sio Genuine Laigwanani ni wa kubumbaSasa hapa unataka utueleze nini kuhusu Lowassa ukiacha huo wasifu wa kabila lake?