Lowassa uso kwa uso na Said Kubenea

Lowassa uso kwa uso na Said Kubenea

Huyu Kubenea ndo yule aliyemwagiwa tindikali na Lowassa, akaenda kutibiwa nje na kwa msaada wa Kikwete? njaa mbaya sana. sa sjui Lowassa anaangaliaje makovu ya mwenzie

Kama una ushahidi peleka mahakamani!
 
Rais wa nchi anatakiwa awe karibu na wananchi wake,safi sana Rais mtarajiwa!
 
View attachment 280558
LOWASSA USO KWA USO NA SAID KUBENEA WA MWANAHALISI Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa (kushoto) akisalimiana na Mhariri Mtendaji wa gazeti Mwanahalisi, Said Kubenea walipokutana jana kwenye msiba wa aliyekuwa Naibu Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya New Habari Coperation, marehemu, Danny Mwakiteleko, Tabata Chang'ombe, Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Habari Coperation. Hassan Bashe.

Duu si ilikuwa 2011 hii?
 
Machichiem yamechanganyikiwa yamekwisha mchana kweupe sasa wao kama wamefanya viuri ahadi zote wametekeleza yanini kutumia nguvu nyingi na ukawa hawana sera kuleta watu kwa mafuso na wasanii kibao
 
naona kama vile ccm wanapigwa bao la kisigino.Hussen bashe tena.
 
Siku hizi naona hata kijarida chake Mawio, kinakaa mpaka jumamosi na zaidi wakati kilikuwa kinaisha siku hiyohiyo kabla ya hata saa 6, sasa sijui hajiulizi. Mwenzie hiyo nafasi kanunua anmalengo yake. tatizo wengi wa wanasiasa mnapenda sana kusafiria nyota za wenzenu
 
attachment.php

LOWASSA USO KWA USO NA SAID KUBENEA WA MWANAHALISI Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa (kushoto) akisalimiana na Mhariri Mtendaji wa gazeti Mwanahalisi, Said Kubenea walipokutana jana kwenye msiba wa aliyekuwa Naibu Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya New Habari Coperation, marehemu, Danny Mwakiteleko, Tabata Chang'ombe, Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Habari Coperation. Hassan Bashe.
Ya 2011 hiyo.
 
Siku hizi naona hata kijarida chake Mawio, kinakaa mpaka jumamosi na zaidi wakati kilikuwa kinaisha siku hiyohiyo kabla ya hata saa 6, sasa sijui hajiulizi. Mwenzie hiyo nafasi kanunua anmalengo yake. tatizo wengi wa wanasiasa mnapenda sana kusafiria nyota za wenzenu
Hata Shigongo pia...
 
Kilele gani, kibo au mawenzi? na atanfikishaje huko wakati anaumwa. Unakumbuka yale matembezi aliyoyaongoza yaliyokuwa yanaishia TCC chang'ombe, alipotoka hapo ni moja kwa moja hospitali.

Huyo yupo location, get ready....... Action
Mpe unyumba huone kama ni mgonjwa.


swissme
 
Saed Kubenea na Lowassa ni marsfiki...

Lakini imekuwaje wakutane kwny msiba jana wakati Dany Mwakiteleko alifariki miaka mitatu iliyopita??? Au huyu ni Mwakiteleko mwingine!
 
Huyu Kubenea ndo yule aliyemwagiwa tindikali na Lowassa, akaenda kutibiwa nje na kwa msaada wa Kikwete? njaa mbaya sana. sa sjui Lowassa anaangaliaje makovu ya mwenzie
Apate wapi tindikali Lowasa kwani yeye ni mkemia Mkuu wa sirikali?!
 
Jamani eeeh... Hiyo picha siyo ya jana jamani... Tuwe makini kidogo kwenye kufuatilia mambo. Marehemu Danny Mwakiteleko alifariki tarehe 23 july 2011!!
 
Comrade Hussein Bashe.... Pengo ambalo halitazibika kwenye timu ya ushindi....
 
Hapo anatamani kungekuwa na tindikali alipize kisasi
 
Back
Top Bottom