hata YouTube au Google au jfvideo plz...... ili tuthibitishe uongo huu mpevu
Mbona ni Lowassa tu hakuna Membe, hakuna Makongoro hakuna Wassira, hakuna Pinda, hakuna Muhongo. Na nyie Watanzania acheni ushabiki wa kijinga. Mama zenu wamezaa, baba zenu wametunza, walimu wenu wamewafundisha, na viongozi wenu wa dini wamewapa maadili ya kidini. Usiwe na Ushabiki ambao ukiambiwa toa ushahidi huna. Na wana CCM wanataka kutuaminisha kuwa walimtoa huyu jamaa kafara kweli ndo maana wanaogopa akiingia.

binafsi nilimuhotaji na sina jinsi kwa sasa,naumia tu
swali la kujiuliza hata wewe kwanini asemwe yeye?
sio walimtoa kafara nyerere alishasema hafai kuwa kiongozi mkumba wa nchii na alipokiuka hayo ilimchukua miaka 3 kuondoka,
swli kwanini yeye ndo awe wzr mkuu wa kwanza kukutana na anguko la kisiasa 50 yrz ya huru,chukua zako changanya na za shule songa mbele.
Watanzania tumejisahau tusipeleke nguvu zaidi kwenye siasa Chafu hii ndo inayoleta udini,Ukabila, Urangi pia Ukanda. Mbona kuna siasa safi ambayo ni ya kisomi. Msikilizeni Peter MSIGWA.
nani wanamchafua mkuu?
Nyerere yuko wapi? Sasa hivi tuko kizazi cha Sayansi na technology. UKWELI usiopingika sio kwamba nampigia Lowassa debe ila Watanzania tubadilikeni. Nyerere pindi anakufa hata 3G, WCDMA havikuwepo nchini . Leo hii hata wewe bado haupo digital upo Analogy kwa maana kinachoandaliwa sasa hivi ni wadogo zetu ndo watafaidi. Achana ni history. Tunafanya Siasa safi, Siasa ya Vijana.
mkuu hapo umekosea hakuna duniani ambako historia inafutwa na technologia hakuna ,obama alipata urais kwa kutumia slogani ya mtu mashuuri kakika dunia hii martin luter,"yes we can"
nakukubusha pia katika dini tunasoma vitabu na maandiko ya mitumena manabi wa zama hizo na tunaamini,
je nyerere wa jana ,
usiwadanganye vijana na kuwaaminisha kuwa wanaweza kwenda wanapotaka kwenda asipo kujua historia ya wanakotoka plz ni uongo.
Watanzania tumejisahau tusipeleke nguvu zaidi kwenye siasa Chafu hii ndo inayoleta udini,Ukabila, Urangi pia Ukanda. Mbona kuna siasa safi ambayo ni ya kisomi. Msikilizeni Peter MSIGWA.
Watu wa lowasa mnashangaza sana.hivi huyu lowasa anaehonga watu ili aonekane anakubalika hii ndio siasa safi? Mmechanganyikiwa nyie siyo bure.
Mkuu kinachoelekezwa kwenye siasa za watu sasa hivi ni CHUKI. Nakatisha mitaa ya Sinza nakuta mtu anasema afadhali Mramba kafungwa jamaa anasomesha watoto St. Marian. Yaani unaweza jiuliza huyu ndo Mtanzania au ndo nani? Hii sio Siasa tena ishakuwa CHUKI. Ndo kama huyu EL wanavyomfanyia sasa hivi. Mambo kama haya hayafai kwa mtanzania. Haya kafungwa je Watanzania tumerudishiwa pesa zetu??
Angalia wangerudisha pesa zetu ndo waendelee nae. Kule Gerezani tutaanza tena kumlisha sisi.
Mkuu huwezi amini huyu EL hata kama atasimama kesho kura siwezi mpa ila siasa za CHUKI ndo tuache
mkuu 1,zipo kweli siaza za chuki lkn huyu bwana alijisau na kutumia mbinu nyingi chafu juu ya maisha ya watu ndo maana watu wananchukia nje ya wizi wake, akaona pesa ndo kila kitu kwake,
2,mramba tayari walishachukua baadhi ya mali zake na hiyo hukumu ni haki yake mkuu,