Lowassa, umeamua kuwa na busara?

Lowassa, umeamua kuwa na busara?

si uende sasa! na kwanini usubiri hadi hiyo oktober 30 mwakani. kachukue hiyo kadi ya ccm leo uone kama iko chama unahama kitazoofika. ninachojua hatupungukiwi ubunifu hata siku moja huku! vijikosa vipo ndiyo; kuna binadamu aliyekamilika?
Vijikosa?! Makosa yapo. Katika siasa kila mtu amekamilika.
 
Back
Top Bottom