Nimekuwa nikufuatilia sana comment zako. Sidhani kama wewe umeokoka kweli, sidhani kama unamjua YESU wa kalvari, walio na Roho wa MUNGU hawaubishi mwili wa Kristo, walio na Roho wa MUNGU hawatukani, watukanaji wote sehemu yao ni ziwa la moto, walio na Roho wa MUNGU wanaombewa watumishi wa MUNGU na kwa kuwa wale ni wanadamu tu sio kuwatukana na kuwaabisha, walio wa Kristo hawako hivyo, pole!!!!, walio wa Kristo ni wanyenyekevu na wapole, walio wa Kristo hawasimangi mwili wa Kristo, wanaoenda mbinguni wamefanywa upya nia zao na wanayatufuta yalio juu, wanaoenda mbinguni maneno yao yamejaa munyu, na hunena maneno ya kujenga, wanaoenda mbinguni hawahukumu wengine maana wanajua wameokolewa kwa neema tu. Wewe hujampta YESU wa Kalvari. Ingia kwenye toba ya kweli na ugeuke kama unataka kwenda mbinguni.