Ozzie
JF-Expert Member
- Oct 9, 2007
- 3,217
- 1,266
Wanabodi!
Kuna email ya shukrani imetumwa na Lowassa kwa baadhi ya wafuasi. Si mbaya, lakini haitoi hatima yake kwa sasa, na bado anahitaji maombi yenu.
Tumuombee.
Kuna email ya shukrani imetumwa na Lowassa kwa baadhi ya wafuasi. Si mbaya, lakini haitoi hatima yake kwa sasa, na bado anahitaji maombi yenu.
Tumuombee.
Dear xxxx xxxx
Ninapenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru marafiki zangu wote mnaoniunga mkono na kuniombea. Pia ni masikitiko yangu kwamba sikuhitajika na wakubwa zangu katika kugombea nafasi ya urais.
Naamini Mungu anajua sababu zilizopelekea kuzima ndoto zangu lakini namshukuru kwakuwa amenitia nguvu sana kwani haikuwa rais sana kukutana na maamuzi hayo na kejeli za wazi. Naomba usiache kuniombea ili niyafanye yanayompendeza Mungu katika kipindi hiki kigumu.
Mungu ibariki Tanzania na watu wake
Hon. Edward N. Lowassa
Regards: Edward Lowassa Official Online Office.