Lowassa si target ya 'Gamba la CCM' atarudi mlango wa nyuma, bali target ni Rostam Aziz - Al-nuur

Waislam wa tz wanvituko! Pengo mkatoliki ajiandae kumrudisha Lowassa mlutheri? Lile gazeti ni la maamuma tu.
 
Nimeshtuka kuona ktk gazeti moja linajulikana kama Sauti ya waislam likiandika kwamba Gamba la CCM linalotaka kuvuliwa kwa mapacha 3 lengo kuu ni kumuondosha kabisa Rostam azizi ktk CCM na sio Lowassa.

Eti imeandika wote hao watafukuzwa lkn Lowasa atarudishwa kwa mlango wa nyuma kwa shindikizo la makanisa. Limejenga hoja yao kutokana na kauli ya Kardinal Pengo kusema kanisa halitajitenga na wathumiwa ufisadi alioitoa siku za pasaka. Gazeti hilo limejenga hoja hiyo ikimaanisha ni kutaka kumuokoa Lowassa.

Limesema Gamba la EL linatokana na kuwa karibu na muislam Rostam Azizi.

Hivi kweli Rostama amewasaidia nini waislam hadi kufikia kutetewa? au tayari fedha zake zinapenya kila sehemu? kwani niliwahi kusoma ktk gazeti moja kwamba RA akijinadi kwamba wanawe wote amewakabidhi makanisani kwa malezi ili wapate malezi mazuri na sio misikitini.

Lkn kwa kuwa limeandikwa na gazeti lilosajiliwa Hoja hii inaweza ikawa na chembe ya Ukweli SI YA KUPUUZWA

udini utakumaliza, hivi huwezi kuandika kitu bila kuweka sentensi za kidini,
 
... niliwahi kusoma ktk gazeti moja kwamba RA akijinadi kwamba wanawe wote amewakabidhi makanisani kwa malezi ili wapate malezi mazuri na sio misikitini.
Aisee! Achana na lile gazeti, wanaonunua wana hasira zao za kimaisha, wao kujilipua si ishu!
 
Ndio maana kanisa limemtuma Nchimbi afute hilo gazeti ehe!, kama havina ukweli si waende mahakamani???? Pasingekalika wapi wewe? nyie vita mnaweza au unasema tu???
mawazo ya mtanzania wa kawaida, by the way ur mind need to be scanned.
 
Hivi magazeti ya kiongozi na tumaini letu wangekuwa wanachambua mambo khvyo huku wakihusisha uislamu nchi ingekuwaje. Ndugu zangu wapendwa waislamu acheni chuki, itafuteni ilimu dunia pia.
 
Waislam wa tz wanvituko! Pengo mkatoliki ajiandae kumrudisha Lowassa mlutheri? Lile gazeti ni la maamuma tu.
Shida yao wao ni ukatoliki -soma JKN. Kuna siku humu walichachamaa wakidai Mkapa ni mkatoliki aliekuwa anapokea amri toka kwa Vatican na Pengo
 
kusoma gazeti hilo la al qaeda/al nuur, ni kupoteza muda, kwasababu waandishi wao product ya chuo cha morogoro hawana akili kabisa kama kilivyo chuo chao pale morogoro....wao wanafikiri dunia yote ni kuran tu...majini wanayofuga yamekomba akili zote kilichobaki ni kupiga bao na soga hadi asubuhi hawafanyi kazi wakisubiri kulalamika kuwa wanaonewa..chochote kitakachokuja mbele yao wanaingiza udini, watalia weee, watakula ubwabwa wanaoutamani sana usiku watalala.
 
Ila na nyie kwa kulalamika. Sijui mtakula dini yenu. Mnajifanya mnamjua mungu, kumbe unafiki mtupu. Mmefunga, baa haziuzi, madada poa hawapo, wizi haupo, vifuu vya nazi kwenye njia panda vimekwisha , mlichobakiza ni kufuga majini. Serikali ya tz siku zote imewapendelea, hako kagazeti kenu kangekuwa kanatolewa na dini nyingine zaman tungekasahau, kwa kuwa serikali ya tz siku zote inaongozwa kiislamu, ndio mana kagazet kauchonganishi kanaendelea kuwepo.
 
Hapo wanashindwa hata kufanya research ndogo sana kujua kuna madhehebu mengi kwa wakristo. Wanahusisha chadema na ukatoliki. Ila ndani ya Chadema wakristo wa madhehebu mengine ni wengi zaidi kuliko wakatoliki, Akiwepo muazilishi wa Chadema. NA KILA SIKU NINAOMBA MUNGU WAENDELEE KUKASHIFU WAKATOLIKI TU, KWA SABABU KIDOGO WAPO NEUTRAL. HALI ITAKUWA MBAYA WAKIINGIA KWENYE MAKANISA YA UPAKO, KWA SABABU NO HAWAKUBALI DINI YAO IDHARAULIWE KAMA HAWA FUNDAMENTALIST
 
Nimeshtuka kuona ktk gazeti moja linajulikana kama Sauti ya waislam likiandika kwamba Gamba la CCM linalotaka kuvuliwa kwa mapacha 3 lengo kuu ni kumuondosha kabisa Rostam azizi ktk CCM na sio Lowassa.

Eti imeandika wote hao watafukuzwa lkn Lowasa atarudishwa kwa mlango wa nyuma kwa shindikizo la makanisa. Limejenga hoja yao kutokana na kauli ya Kardinal Pengo kusema kanisa halitajitenga na wathumiwa ufisadi alioitoa siku za pasaka. Gazeti hilo limejenga hoja hiyo ikimaanisha ni kutaka kumuokoa Lowassa.

Limesema Gamba la EL linatokana na kuwa karibu na muislam Rostam Azizi.

Hivi kweli Rostama amewasaidia nini waislam hadi kufikia kutetewa? au tayari fedha zake zinapenya kila sehemu? kwani niliwahi kusoma ktk gazeti moja kwamba RA akijinadi kwamba wanawe wote amewakabidhi makanisani kwa malezi ili wapate malezi mazuri na sio misikitini.

Lkn kwa kuwa limeandikwa na gazeti lilosajiliwa Hoja hii inaweza ikawa na chembe ya Ukweli SI YA KUPUUZWA

UPDATED.

tayari rostam hayupo. lowasa kimya. ccm kimya. jee hoja ya gazeti hilo inatimia?

Hilo gazeti si unajua waandishe wake ni walewale. Chanzo chao cha habari ni kweye mihadhara na vijiwe vya kahawa, kwa hali hiyo utegemee nini? kuna habari hapo? halifai hata kuwashia moto, maana moshi wake unaweza kuwa ni mapepo!
 
Back
Top Bottom