Omuchimati
JF-Expert Member
- Aug 23, 2014
- 427
- 202
Lowassa sema ukweli,ukweli utakuweka huru,ila usiposema kweli na kutenda kweli utashindwa kuwa huru mzee,waambie ndugu zangu wa Chadema kwamba hukwenda kwa ajili ya chama chao,ulienda kutafuta kichaka cha kujificha ukitegemea swala apite kando yake umle(URAIS) na ndio hoja umesimama nayo mpaka leo,wameshindwa kukuelewa, wengine wanakuona kama msukule uliovamia nyumba ya walio hai, wanajuta kwanini viongozi wao waandamizi walikukaribisha ndani ya chama,kwa kawaida majuto huwa mjukuu.
Kweli nyingine ni kuwa wewe ni mwana ccm kidakidaki, ukitaka upumzike kwa amani mzee wangu rudi ndani ya chama utubu, uzuri wana ccm hawamkatai mtu wewe ndie unajikataa mwenyewe,naomba unielewe kama yule mfalme alieambiwa akaoge mara saba ndani ya mto Yordani, nawe kafanye hivyo mzee wangu LOWASSA, uko ulipo unawatesa wana Chadema na kujitesa mwenyewe pia.........MKIIJUA KWELI NA KUITENDA MTAKUWA HURU KWELI KWELI.