Lowassa: Rushwa ni kansa inayoitafuna nchi

Huyu ndo raisi tunayemuhitaji sisi kama ww humuitaji acha kumchafua kwa chuki zako,,,,,,,,,,,,
 
Ameshindwa kutoa maoni yake juu ya utendaji kazi wa wanawake licha ya kushika nyadhifa kubwa serikalin.Kwa tafsiri yangu ni kwamba ameogaopa kuwapaisha wanawake

Lowasa sio MC mpaka aseme chochote au awe mropokaji amejibu systematically amejibu accordingly sasa ukitaka majibu tu kwasababu anaulizwa swali..alivo jibu ni sawa and lowasa is the true politician.
 
Hivi huyu ndo marehemu Lowasa?

Marehemu ni wewe ambae ubongo wako umekufa lakini mwili unatembea...hivi kumbe Tanzania kuna watu madunya hivi kha? Lowasa ingia madarakani baba utufufulie akili za watu jamani.
 
yaan ni sawa nzi aseme leo harufu ni kali sana chooni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…