Private investigator
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 303
- 287
Shida ni waliopo getini, kama watakuruhusu, Ila walioko ndani, wote watakupigia kura kampeni.
Usiogope, wewe ni jasiri, onesha ujasiri katika huu ushauri wangu.
Rudi nyumbani, rudi kimya kimya, wanaccmu na m4c wote wataimba nawe.
Rudi mzee, ita ama wafuate wazee wa chama kijani, zungumza nao, maana ni dhahiri hawamuelewi huyu aliyepi, nchi ipo kwenye mwendokasi, dereva kajipiga upofu, kaziba masikio.
Huko uliko nguvu yako itachukua muda kudhihirika, na hicho chama kuaminika kupewa nchi itachelewesha nia njema yako kwa Watanzania. Rudi ccmu, ongea upya vizuri na wazee wa CC, hawana mbadala wa nguvu kuifanya hii iwe 1 term maana itabidi tu iwe 2 terms, Ila ukiingia 2020 unaweza kabisa kumrudisha Geiter, Chatal.