Uwoga wa ushindani umemfanya Magufuli kukumbatia mafisadi (Lowasa & Rostam) ili Membe asiwe kikwazo 2020. Ufisadi ni mfumo hasa walio madarakani

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Ameandika Kada wa CCM Bollen Ngetti.

MWISHONI mwa mwaka jana vuguvugu au tuseme mpango wa kumfukuza uanachama Membe ulikuwa ni mkubwa. Bwana Mkubwa anaona aondoke lakini wazee wakajiuliza nini athari yake kwa chama?

Ushauri ukatolewa kwamba suti nyeusi wa kila mkoa wafanye utafiti Membe anakubalika kwa kiasi gani kiasi kwamba akifukuzwa chama hakitayumba?

Mkoa pekee ambao ulionekana kumkubali Membe kwa asilimia ndogo ni Geita inayomkubali kwa 72.1%. Dar iliongoza kwa 93%. Zoezi hili likafa kimya kimya.

Swali likabaki pale pale nani anaweza kumkabili Membe kuelekea 2020? Eduadi akaonekana muafa ndani ya CCM. Nani anaweza kumrudisha Eduadi CCM? Jina la Apson likaonekana nyota. Kwamba unapozidiwa hata adui sasa anakuwa rafiki.

Tukumbuke Bwana Mkubwa amekuwa akisema, "walidhani nitakuwa part of them, never". Sasa mazingira yanakulazimisha kuwa sehemu yao!

Kwa mantiki hiyo ni kwamba Eduadi hatogombea tena Urais lakini atakuwa na kazi moja tu, kumdhibiti kuelekea 2020 jambo ambalo pia ni gumu kwa kiwango cha juu sana maana hazina baraka za profesa wa siasa, Jakaya Kikwete.

CCM lazima tujitafakari tutawezaje kuvuka 2020 dhidi ya Lissu bila kutegemea nguvu za mitulinga na suti nyeusi? Tusiwaachie kazi hii Eduadi na Rostam. Nimesema mara kadhaa Mafikizolo Wako makini sana dhidi ya Bwana Mkubwa. Inzile wasihitaji msaada nje ya chama Bali iwe ni kinyume chake na ndio maana ninasema tuache woga maana CHADEMA wana nafasi kubwa sana ya kuchukua nchi endapo makundi haya CCM hayataondoka! Linaendelea......
#AchaWoga2020
 
Mbowe -tunaelekea KIGOMA, Lissu - tunaelekea CANAAN!
 
Membe kabisa huyu huyu? Excuse me please..
 
Magufuri Hakuna alichofanya sana sana ,ameongeza makundi na maadui wakubwa wenye nguvu ndani ya chama Rostam ,Lowasa ,Membe na muda utaongea .
 
Mwisho wa Magufuli ni 2020. Na kitakachomwangusha ni One man show.
Very likely vijana wakajitoa mhanga, Nape, Makamba, Lissu under supervision ya Membe na JK na sapoti ya matajiri waliodhulumiwa.
Ikiwa hivyo, Mr. president will be loved for ever for being the turning point of political transformation in Tz.
Ile usitukane wakunga na uzazi ungalipo itajidhihirisha.
Marafiki zake wanapambana, Kagame vs Mseveni, Kagame vs Nkurunziza! Nani atamsaidia ilhali Odinga anakula na Uhuru?

Mr. president Mungu akutangulie
 
Back
Top Bottom