Huyu naye anaandikia gazeti gani?Waandishi , mbona hawajatajwa walio kuwepo maana wakijulikana inasiadia sana .Babile hakuwepo hapo ?
mkuu mbona zinauzwa au huna taarifa.Ni PM nikuelekeze ilipo Tanganyika ArmsKila nikitafakari amani yetu huwa najiuliza kama silaha zingekuwa zinauzwa madukani ingekuwaje
Unajua ninawashangaa sana nyie wananchi. EL hajapewa nafasi ya kujieleza nyie so far mmesikia taarifa ya upande mmoja lakini tayari mna shout: ASULUBIWE ASULUBIWE.
Mie bado ningependa kumsikia RA na EL wana lipi la kusema, ile kamati ya Mwakyembe haikuwatendea haki kutowahoji vizuri na kupata maelezo yao.
sidhani kama hiyo itakuwa njia sahihi ya kupigana na ufisadi...If it is found to be true that RA uses his paper for propaganda reasons the people should stop buying his papers on news stands. The less circulated and read his newspapers are the less his propaganda can spread. The only problem is how do we achieve this.
Mkuu achana nao hao kabisaaaaaa tangu mchakato wa kamati ya Richmonduli ilipoanza kazi hawa jamaa wanakwepa kukutana nayo na wanakwepa kusema ukweli.Unajua ninawashangaa sana nyie wananchi. EL hajapewa nafasi ya kujieleza nyie so far mmesikia taarifa ya upande mmoja lakini tayari mna shout: ASULUBIWE ASULUBIWE.
Mie bado ningependa kumsikia RA na EL wana lipi la kusema, ile kamati ya Mwakyembe haikuwatendea haki kutowahoji vizuri na kupata maelezo yao.
... watanzania si wajinge tena... kma ni kuchafuana kwa lengo la kujisafisha tutajua tua dirty game....politics...naamini Kikwete atachafuliwa vizuri sana,very soon..
Lowassa alikuwa mtu wa kwanza kutoa mchango wake baada ya ripoti ya Mwakyembe kuwasilishwa. Utetezi wake tuliusikia na tumeuelewa, apatiwe nafasi gani tena? Huyo Rostam si aliikimbia tume?Unajua ninawashangaa sana nyie wananchi. EL hajapewa nafasi ya kujieleza nyie so far mmesikia taarifa ya upande mmoja lakini tayari mna shout: ASULUBIWE ASULUBIWE.
Mie bado ningependa kumsikia RA na EL wana lipi la kusema, ile kamati ya Mwakyembe haikuwatendea haki kutowahoji vizuri na kupata maelezo yao.