Mjinga sana,,anasubiri atafuniwe yeye ameze tuMillard Ayo sijui kwanini anatumia Habari za vyanzo vingine na kuzifanya zake, anaweka na Logo yake kabisa. Mwananchi wakamshtukia wakampiga ban.
Ubarikiwe sana kwa hii comment.Angekuwa hivyo kama unavyosema wewe tungeshashuhudia umwagaji damu mkubwa 2015 kwa dhulma aliyofanyiwa.
Lakini kwakuwa anapenda amani,alichagua ushindi wa amani.
Muonage basi aibu mnapounda propaganda zenu za kipuuzi dhidi ya huyu Mzee pendwa.
Kibiti mnatafunana wenyewe kwa wenyeweKwa kauli hii, hivi kweli hawezi kuwa na Mkono Kibiti huyu Mpenda sifa na madaraka?
Amiiin [emoji120]Ubarikiwe sana kwa hii comment.
Endelea kuimba kuwa ni fisadi. Hivi kwa ufinyu wa akili yako umeshindwa kung'amua kuwa EL sio fisadi? Angekuwa fisadi halafu uchanganye na usongo alio nao mkulu ktk kuwashughulikia wapinzani angebaki salama hadi leo hii? Epuka akili za kupikiwa.Huyu MZEE bado hajakwenda kuchunga tu. Urais atausikia hivyo hats akienda Tena kwa tb Joshua, watanzania hatuwataki mafisadi katuumiza sana huyu mzee
Ugojwa bado unamdusumbua alosema marehem mtikilaKwa kauli hii, hivi kweli hawezi kuwa na Mkono Kibiti huyu Mpenda sifa na madaraka?
Kawaumiza? Polisi wenu,TAKUKURU wenu,magereza yenu,mahakama zenu....Huyu MZEE bado hajakwenda kuchunga tu. Urais atausikia hivyo hats akienda Tena kwa tb Joshua, watanzania hatuwataki mafisadi katuumiza sana huyu mzee
Hivi kwa nini tunakuwa vi[pofu huyu ndugu amealikwa kwenye fytari alafu analeta siasa jee anataka kuanzisha Islamic state yake hapa TZ
How havumiliki??
Mkuu gazeti lenyewe Tanzania daima hawezi. Lazima wawasifie watu waoHow havumiliki??
Unamahaba na Lowassa hadi leo?Angekuwa hivyo kama unavyosema wewe tungeshashuhudia umwagaji damu mkubwa 2015 kwa dhulma aliyofanyiwa.
Lakini kwakuwa anapenda amani,alichagua ushindi wa amani.
Muonage basi aibu mnapounda propaganda zenu za kipuuzi dhidi ya huyu Mzee pendwa.
Weka matokeo ya uchaguzi yanayoonesha kila mgombea alipata kura ngapi ili nione mwenyewe Lowassa alishinda kwa kura ngapi.Angekuwa hivyo kama unavyosema wewe tungeshashuhudia umwagaji damu mkubwa 2015 kwa dhulma aliyofanyiwa.
Lakini kwakuwa anapenda amani,alichagua ushindi wa amani.
Muonage basi aibu mnapounda propaganda zenu za kipuuzi dhidi ya huyu Mzee pendwa.
Wewe unaweza kuvumilia kupigishwa magoti kama Singasinga na midevu yote ile?Havumiliki ki vp?
Weka matokeo ya uchaguzi yanayoonesha kila mgombea alipata kura ngapi ili nione mwenyewe Lowassa alishinda kwa kura ngapi.
Sema mkuu huwa una akili zote za kimtaa mtaa na kisiasa siasa utakuwa una uwezo sana wa kufikiriAngekuwa hivyo kama unavyosema wewe tungeshashuhudia umwagaji damu mkubwa 2015 kwa dhulma aliyofanyiwa.
Lakini kwakuwa anapenda amani,alichagua ushindi wa amani.
Muonage basi aibu mnapounda propaganda zenu za kipuuzi dhidi ya huyu Mzee pendwa.