Lowassa: Rais Magufuli havumiliki

Millard Ayo sijui kwanini anatumia Habari za vyanzo vingine na kuzifanya zake, anaweka na Logo yake kabisa. Mwananchi wakamshtukia wakampiga ban.
....Kwa sisi tunaotaka habari, na tusioweza kupata magazeti on time, the young man is of great help. Sasa ikiwa owners wa hayo magazeti hawana tatizo wewe kiherehere cha nini?
 
Kwa kauli hii, hivi kweli hawezi kuwa na Mkono Kibiti huyu Mpenda sifa na madaraka?
Angekuwa hivyo kama unavyosema wewe tungeshashuhudia umwagaji damu mkubwa 2015 kwa dhulma aliyofanyiwa.

Lakini kwakuwa anapenda amani,alichagua ushindi wa amani.
Muonage basi aibu mnapounda propaganda zenu za kipuuzi dhidi ya huyu Mzee pendwa.
 
We acha kuongea usichokijua. Bila Intel iliyotulia, alichopanga Hugo Mpenda Madaraka kutufanyia Watz, hakuna mtu angepangua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…