MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,185
- 24,055
2010 mliaminishwa ni mbowe cha kushangaza akletwa dk slaa na kuzoa kura mamilioni..... thenMasikini Sumaye!
Ndoto zake zinaendelea kuzikwa!
Sumaye alidhani mwaka 2020 itakuwa zamu yake!
Kuna hatari ya watu kugawana fito!
Lowasa anaimaliza chadema, anatengeneza mtandao ndani ya chadema kama ule alioutengeneza akiwa ccm na hii ndio staili yake ya siasa. Hajiamini ndio maana anapenda kutengeneza mtandao wa kumbeba. Chama kama wana akili huu ndio wakati wa kumpiga chini lowasa na waanze upya kujenga chama chao kiwe na upinzani wa kweli kuelekea uchaguzi 2020 maana huu wa marudio wameangukia pua vibaya.Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Edward Lowassa amesema njia ni nyeupe kwa CHADEMA kuingia Ikulu katika uchaguzi ujao wa mwaka 2020.
“Kuweni watulivu na mwaka 2020 mjitokeze kupiga kura na kama nitakuwa hai nitakuwa mgombea tena wa urais kupitia muungano wa vyama vya upinzani,” alisema.
Akizungumza nyumbani kwa kada wa CHADEMA, James Lembeli katika kijiji cha Mseki, Kahama, Lowassa alisema ameshindwa kuzungumza na kufanya mkutano na wananchi wa kijiji hicho akihofia kukamatwa na polisi kama alivyokamatwa Geita na kuwataka wawe wavumilivu hadi uchaguzi wa mwaka 2020.
Kadhalika, Lowassa aliwataka vijana wasikubali kuibiwa kura kwa madai uchaguzi uliopita hawakutendewa haki na ndio maana walikosa ushindi.
Chanzo: Gazeti la Mwananchi.
Ukawa watamjua EdoSindieye aliesema wakishindwa 2015 wasubili miaka hamsini ipite hahahaha kazi ipo
Lowasa anaimaliza chadema, anatengeneza mtandao ndani ya chadema kama ule alioutengeneza akiwa ccm na hii ndio staili yake ya siasa. Hajiamini ndio maana anapenda kutengeneza mtandao wa kumbeba. Chama kama wana akili huu ndio wakati wa kumpiga chini lowasa na waanze upya kujenga chama chao kiwe na upinzani wa kweli kuelekea uchaguzi 2020 maana huu wa marudio wameangukia pua vibaya.