MZEE LOWASA NJIA PANDA KWA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU:
Katika hotuba yake ya dk 10 mzee pasipo kutambua anachoongea, alitamka kutoa elimu bure kwa wanafunzi wote TANZANIA, pasipo kutaja vyanzo vya kupata feza hizo!
Aidha makadirio ya Budget ya mwanafunzi mmoja wa Elimu ya juu inaweza kuchanganuliea,
1.Bumu 1.8m per year
2.Ada 1.3 to 1.8m per yr
3.Accommodation 138,000/=
4.Bima 50,000/=
5.Id 5000
Jumla 3,393,000/
Hizo ni baadhi ya cost components za mwanzafunzi mmoja wa chuo tena kwenye koz moja, Tanzania wanafunz wa vyuo vikuu wapo zaid ya laki 2 pika mahesabu alafu huyo mwanzafunzi jumlisha gharama zake za Vidudu, chekechea, shulen ya msingi, olevel, advance, nk.
Alafu mzee anawadanganya hadi wasomi wanaojitambua tofauti na bodaboda, wadada poa, mama ntilie nk.
Takribani 3,393,000 kwa mwanafunzi mmoja wa chuo kwa mwaka times miaka ya degree husika mfano wengi wanasoma mitatu
3,393,000 × 3Yrs = 10,179,000/ mwanafunzi mmoja na kwa miaka mitatu
3,393,000 × 5yr = 16,965,000 Kwa mwanafunzi wa udakitali na hapo hujaweka gharama zao sahh kwa mfano ada ya afya sijui ni ngapi!!!!
HAPA MZEE UMECHEMKA! EWE MSOMI CHUKUA HATUA KUPINGA HUU UZANDIKI.FANYA MAAMUZI SAHIHI YA KUCHAGUA KIONGOZI MWENYE SERA ZINAZOTEKELEZEKA.