Lowassa Njia Panda kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu

Lowassa Njia Panda kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
MZEE LOWASA NJIA PANDA KWA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU:
Katika hotuba yake ya dk 10 mzee pasipo kutambua anachoongea, alitamka kutoa elimu bure kwa wanafunzi wote TANZANIA, pasipo kutaja vyanzo vya kupata feza hizo!

Aidha makadirio ya Budget ya mwanafunzi mmoja wa Elimu ya juu inaweza kuchanganuliea,
1.Bumu 1.8m per year
2.Ada 1.3 to 1.8m per yr
3.Accommodation 138,000/=
4.Bima 50,000/=
5.Id 5000
Jumla 3,393,000/

Hizo ni baadhi ya cost components za mwanzafunzi mmoja wa chuo tena kwenye koz moja, Tanzania wanafunz wa vyuo vikuu wapo zaid ya laki 2 pika mahesabu alafu huyo mwanzafunzi jumlisha gharama zake za Vidudu, chekechea, shulen ya msingi, olevel, advance, nk.


Alafu mzee anawadanganya hadi wasomi wanaojitambua tofauti na bodaboda, wadada poa, mama ntilie nk.
Takribani 3,393,000 kwa mwanafunzi mmoja wa chuo kwa mwaka times miaka ya degree husika mfano wengi wanasoma mitatu

3,393,000 × 3Yrs = 10,179,000/ mwanafunzi mmoja na kwa miaka mitatu

3,393,000 × 5yr = 16,965,000 Kwa mwanafunzi wa udakitali na hapo hujaweka gharama zao sahh kwa mfano ada ya afya sijui ni ngapi!!!!


HAPA MZEE UMECHEMKA! EWE MSOMI CHUKUA HATUA KUPINGA HUU UZANDIKI.FANYA MAAMUZI SAHIHI YA KUCHAGUA KIONGOZI MWENYE SERA ZINAZOTEKELEZEKA.
 
Watu wanaokataa kuwa inawezekana elimu ikawa bure ni watu wenye mawazo finyu. Hata sasa takwimu zinaonesha wengi wa wanafunzi wanasoma kwa mikopo. Na katika uhalisia uhalisia mikopo yenyewe hairudishwi na kila mwaka serikali inatenga mabilioni ya pesa kutoa pesa nyingine. Sasa mkopo usiorudishwa na kusoma bure vina tofauti gani?
 
hivi ulishawahi kujiuliza escrow ingeweza kusomesha wanafunzi wangapi wa vyuo vikuu bure na kwa miaka mingapi? ufisadi wa meremeta, kagoda, wale wanyama wanaotoroshwa n,k hop umekurupuka, wenzio wanakutumia then watakudample na hata kusema hawakujui
 
Mianya ikizibwa vizuri mbona inawezekana kabisa Tanzania ni nchi tajiri sema wafaidikaji ni wachache
 
Hakuna haja ya kudiscuss hoja yako ya hovyo. Watu wanakula 306 bil ya escow walishindwa kufanya elimu bure

hizo pesa si zilitokana na service charge?,tena ya umeme,unadhani walizifyatua toka katika mtambo wa kutangeza pesa?
i mean ili elimu iwe bure tukubali kulipa uwe na mtoto anaesoma ama huna,kwani lowasa hana hela zake eti zitakusomeshea mtoto wako
 
Lowassa hana tofauti na Cheyo 1995 alivyodanganya watanzania kuwa atawajaza mapesa...watu wakamshtukia...leo huyu jamaa anatumia mbinu hizohizo zilizomuangusha Mh Cheyo
 
Watu wanaokataa kuwa inawezekana elimu ikawa bure ni watu wenye mawazo finyu. Hata sasa takwimu zinaonesha wengi wa wanafunzi wanasoma kwa mikopo. Na katika uhalisia uhalisia mikopo yenyewe hairudishwi na kila mwaka serikali inatenga mabilioni ya pesa kutoa pesa nyingine. Sasa mkopo usiorudishwa na kusoma bure vina tofauti gani?

so atleast unakubali kuwa elimu ya chuop kiku ni sawa na kuwa ni bure....


hivi unajua kuwa moja ya masharti ya IMF ni kuwa watu wacost share huduma za jamii,afya,maji,elimu....

ili upate pesa,sasa huyo lowasa atapokiuka masharti yao nani atampa pesa na ukawa hamuwataki wachina,si nchi itarudia hali ya enzi za 1980?
 
Lowassa amekaa kwenye system muda mrefu sana, na anajua jinsi gani ya kuwaongopea watanzania. Nilisikia alisema pia kila mtanzania atajenga nyumba/kuwa na makazi bora, ahahaaha hawa wanasiasa vituko sana. Ningemuona bora angesema yeye na mawaziri wake watakuwa wanachukua mshahara wa take home laki 7, kisha wangekuwa wanatumia escudo suzuki cc1500 na yale mashangingi wangewapa madaktari na walimu ahahaha.
Kisha angemalizia kwa kusema ule utajiri wake wa majumba ya UK, mashamba, mifugo na biashara zake zote angezigawa kwa wananchi, hapo ningemuona ana maana kidogo.
 
Hata kuandika kwa usahihi hujui. "Kwa mwanafunzi wa udakitali".

Hilo la elimu bure sisi wasomi tulijua inawezekana hata kabla UKAWA hawajalisema jana. Kwa hiyo, hatupo njiapanda hata kidogo. Zaidi sana tunasubiri hiyo tarehe 25/10 ili tuwaoneshe kuwa UKAWA ni mpango mzima.
 
@Elungata,

..sasa hivi kuna mikopo.

..lakini tunaelewa kwamba wengi hawawezi kurudisha mikopo hiyo.

..sasa kwanini tusiamua elimu ya chuo kikuu iwe bure tu?

..hivi kwa rasilimali zote tulizonazo, kwanini tushindwe kutoa elimu bure tena yenye viwango?
 
elunguta,

..sasa hivi kuna mikopo.

..lakini tunaelewa kwamba wengi hawawezi kurudisha mikopo hiyo.

..sasa kwanini tusiseme ile ya chuo kikuu iwe bure tu?

..hivi kwa rasilimali zote tulizonazo, kwanini tushindwe kutoa elimu bora tena yenye viwango?
 
Last edited by a moderator:
Mianya ikizibwa vizuri mbona inawezekana kabisa Tanzania ni nchi tajiri sema wafaidikaji ni wachache

hakuna nchi duniani inatoa elimu bure toka la kwanza mpaka chuop kikuu,iwe marekani,saudia ama swedeni....


atafanya maajabu yapi huyo hadi apate pesa za kucover cost hiyo
 
elunguta,

..sasa hivi kuna mikopo.

..lakini tunaelewa kwamba wengi hawawezi kurudisha mikopo hiyo.

..sasa kwanini tusiseme ile ya chuo kikuu iwe bure tu?

..hivi kwa rasilimali zote tulizonazo, kwanini tushindwe kutoa elimu bora tena yenye viwango?

ya chuo akiamua anaweza,ila kuanzia primary mziki mkubwa.
hakuna mtu anachukia kuwepo elimu bure,suala ni je inatekelezeka?
 
Last edited by a moderator:
Hakuna haja ya kudiscuss hoja yako ya hovyo. Watu wanakula 306 bil ya escow walishindwa kufanya elimu bure
Hoja teyari imesha kuweka sawa. Muulize mgombea wako, kwanini alijiuzulu kama hakuwa na kosa?
 
Unalinganisheje ahadi ya elimu bure na milioni hamsini kila kijiji julisha laptop kila mwalimu. UWE UNAFIKIRIA KWANZA
Akili kwanza kabla ya kupayuka. Zaidi ya hapo, atazitoa wapi hizo fedha? Jibu swali
 
Lowassa amekaa kwenye system muda mrefu sana, na anajua jinsi gani ya kuwaongopea watanzania. Nilisikia alisema pia kila mtanzania atajenga nyumba/kuwa na makazi bora, ahahaaha hawa wanasiasa vituko sana. Ningemuona bora angesema yeye na mawaziri wake watakuwa wanachukua mshahara wa take home laki 7, kisha wangekuwa wanatumia escudo suzuki cc1500 na yale mashangingi wangewapa madaktari na walimu ahahaha.
Kisha angemalizia kwa kusema ule utajiri wake wa majumba ya UK, mashamba, mifugo na biashara zake zote angezigawa kwa wananchi, hapo ningemuona ana maana kidogo.
teh teh teh! teh!teh! inachekesha na kusikitisha jaman chezea mabadiliko wewe!
 
Watu wanaokataa kuwa inawezekana elimu ikawa bure ni watu wenye mawazo finyu. Hata sasa takwimu zinaonesha wengi wa wanafunzi wanasoma kwa mikopo. Na katika uhalisia uhalisia mikopo yenyewe hairudishwi na kila mwaka serikali inatenga mabilioni ya pesa kutoa pesa nyingine. Sasa mkopo usiorudishwa na kusoma bure vina tofauti gani?
Wapi kwenye dunia ya leo wanakula elimu bure mpaka Chuo Kikuu. Acheni ufukara wa akili.
 
hivi ulishawahi kujiuliza escrow ingeweza kusomesha wanafunzi wangapi wa vyuo vikuu bure na kwa miaka mingapi? ufisadi wa meremeta, kagoda, wale wanyama wanaotoroshwa n,k hop umekurupuka, wenzio wanakutumia then watakudample na hata kusema hawakujui
Upo kwenye mada tofauti. Usijaribu kupindisha mada baada ya kushindwa kujibu.
 
Back
Top Bottom