Brightman Jr
JF-Expert Member
- Mar 22, 2009
- 1,224
- 236
Jamani hata miye nilimsikia ila alifanya masahihisho haraka sana.
Badala ya kumtaja Sumaye alimtaja Magufuri na baadaye aliimbisha wimbo wa mchakamchaka...aliselema aleja! Hili ni jambo la kawaida kukosea kwa kila binadamu; tusilaumu mtu.