Lowassa: Nitaongoza nchi kwa spidi ya Magufuli

Lowassa: Nitaongoza nchi kwa spidi ya Magufuli

lacuna

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2015
Posts
653
Reaction score
168
Katika hali iliyowashangaza wengi ni pale mgombea wa urais kupitia UKAWA ndugu Lowassa kutamka kwamba akipata ridhaa ataongoza nchi kwa spidi ya Dr Magufuli. Hapa kweli kuna kupoteza kumbukumbu.
 
Weka clip nasi tusikie au mnatafuta mbadala wa raisi wa Kuwait ni sadam.... ha haaaa haaaa.... Magamba kwa uwongo bana.....
 
Naona unatafuta kiki humu! Pole kwa uongo wako uliokubuhu.
 
Jamani tena aliimba mchakamchaka aliselema, wamasai wakaitikia ''alija''. Tatizo magufuli akisema atayafunga mafisadi kweli kweli, kuna kigogo wa ccm anachomoka mwishowe atabaki peke yake.
 
Kuweweseka bin kuweweseka! Huyo atakuwa Vuvuzela kutoka timu ya matusi ya ccm!! sio EL tunayemjua. Bs
 
Katika hali iliyowashangaza wengi ni pale mgombea wa urais kupitia UKAWA ndugu Lowassa kutamka kwamba akipata ridhaa ataongoza nchi kwa spidi ya Dr Magufuli. Hapa kweli kuna kupoteza kumbukumbu.

awap! Watanzania bhana, hajasema jambo kama ilo ni ile tu watu mnapenda kupakazia.
 
peleka ulumumba mbele huko.kwa nini usiweke clip na sisi tukasikia??au unatafuta ngoma droo na ile rais wa kuwait sadam
 
Network ilikata, msameheni raisi wa watu wa Monduli.
 
magufuli ni jembe kila mtanzania analijua hilo sema tu wanajitoa ufaham kumkataa.

kweli magufuli jembe lakini linahitaji mpini na mlimaji ili lifanye kazi, na ile dhana ya tingatinga nikweli ni tingatinga ila linahitaji dereva mjuzi wakuliendesha lenyewe haliwezi mkuu, magufuli anahitaji mtu wakumsimamia mwenyewe atapoteza muelekeo wa nchi hii
 
Back
Top Bottom