Lowassa: Nitamtoa Babu Seya gerezani

Status
Not open for further replies.
jk alishasema ana list ya wauza unga mpaka leo hajawataja pia anamjua mdau mkuu wa meno ya tambo bila shaka wapemba wnajuana kwa vilemba rais wa Tz ana madaraka ya ki sultan yupo juu ya sheria
 
Selfu na Duni walifungwa kwa kosa la uhaini, lakini baadae wakaachiwa na rais wa zanzibar, kwa katiba yetu Rais anayo mamlaka ya kusamehe mfungwa yeyote. Ndiyo maana Mwalimu alisema katiba hii inamfanya Rais kuwa dikiteta!
Sefu na duni hawakufungwa walikaa rumande
 
Kama serikali ilishindwa kutaifisha mitambo ya Escrow kama ilivyo pendekezwa na Bunge kwa maslahi ya umma na mgongano wa mihimili huo na Bunge haukutokea basi Mgongano haupo kwasababu anaamua kumtoa kwa maslahi ya umma maana tumemiss vibao vyake na kwasasa ameisha jirekebisha
 
Umesahau polisi waliotumwa kumuua lmran kombe walishatoka kwa msamaha wa rais?
 

Huyu Fisadi ni MBABE sana, na huu ugonjwa wakee ndio amekuwa ni wazimu wa wababe. Nyie mpondeke step tu mtajuta.
 

marando alisema kesi inamkono wa mti.tunasubiri lowasa amuweke wazi
 
Hakuna asiyejua kuwa Babu seya "kabambikizwa"kesi.Hivi kuna mtu hajui?Au mlikuwa watoto??Hata "ushahidi"wa watoto "waliosukwa" ulitofautiana.
 
Kwa sababu hawakukutana barabarani na kwa sababu alikuwa kwenye chama na serikali hiyo hiyo onevu anajua jinsi babu Seya alivyoonewa. Atamtoa si anajua kila kitu?
 
Shida yangu kwenye kesi hii ni kuachiwa huru mwalimu aliyekuwa akitumika kuwaleta wale watoto 'imposters'. Kimaadili na hata kisheria mwalimu naye angehukumiwa lakini badala yake watoto 2 wa Seya waliokuwa na umri chini ya miaka 18 wakala miaka gerezani
 
Mbona Tid alitolewa na rais kikwete, au na yy alidharau utawala wa sheria? sio unakurupuka kuandika upuuzi..!!
 
Kwa babu seya hiyo inajulikana kuwa mkuu wa kaya ndiye mtoa hukumu/maagizo ili kumkomoa
 

Kwa hilo hapana... ila kuna kuteleza
 
mkwere ameongoza nchi hii kwa mihemko ya ngono.Lowassa mtoe babu seya mkwere alimuonea
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…