Lowassa: Nitamtoa Babu Seya gerezani

Status
Not open for further replies.
Mleta mada weka namba yako ya m pesa nikutumie buku 7 yako..
 
Babu Seya alitengenezewa kesi hapo anachofanya Lowassa anamchokoza mtu ili huyo mtu akijibu tu aanze kufunguka wazi wazi...... Saizi ni siku ya 4 hakuna aliyejibu na hata muhusika mwenyewe..... Kama ana ubavu ajaribu kujibu Ukawa wafunguke sasa
 

Logic <<Key word>>// "Magufuli" "saa mbili asubuhi"// not found.
 

kuhusu mfuko nakupinga,katoa Pesa kakopesha boda boda mwanza,JIPANGE KWANZA RUDI LUMUMBA MWAMBIE NAPE AKUPIGE SHULE ndio urudi hapa jukwaani.
 
Lowassa ni Tapeli tu, hafai kuwa Rais, utajili alionao ameshindwa kutengeneza Ajira, hata angekuwa Rais hawezi kutusaidia.

Utajiri alionao unaujua au unalishwa maneno na mafisi wa ccm nawe unayabugia bila hata kutafuna..kama kweli ana utajiri huo labda amewekeza na watu wameajiriwa..wanakula mpunga!..kwa kuwa huna uhakika na unachosema plz kaa kimya!
 

Ushahidi anao Slaa au alikua anaongopa juu ya utajiri wa Lowasa
 
Lowasa fisadi na ushahidi mnao chadema na wafuasi wake vibaka tu
 
Ccm mnaweweseka tu ila swala la babu seya kukamatwa na mchepuko wa kikwete ndio chanzo icho maana jamaa aliudhika sana akatoa amri seya akafie jela ila freedom is coming tomorrow babu utatoka tu ngoja huyo msanii kikwete atoke madarakani
 
Magufuri mpuuzi hana dira wala agenda kwa Tanzania tupa kule huyo mamii..

Nadhani ndugu unapotea. Mami ama akina Ngosha huwajui. Watampigia kura mpaka hutaamini. Katika watu ambao wanasikilizana na ni hao jamaa. Usichanganywe na maigizo ya mafuriko.
 
CCM njooni na sera nzuri na mikakati ya kuondoa umasikini , achaneni na issue za kuattack wapinzani haitawasaidia, wapinzani wamefanya kazi kubwa ya kujenga chama kwa muda mrefu wakati ccm ilkipiga dili na kupuuza shida za wananchi, leo hii wananchi wanataka mabadiliko, ndo maaana utaona umati mkubwa wa watu wakimpokea kiongozi wa upinzani . Msululu wa lowasa ule sio wa kununua kama ccm wasemavyo, bali watu wanaona upinzani ndo njia pekee ya kuwaondoa katika umsikini wao ambao umeshamili mda mrefu, so watu wanataka mabadilko ya kiuchumi, na sio vinginevyo. ccm watajaribu kuyaita mafuriko ya lowasa kwa jina lolote lile baya, sijui kanunua watu , ohhh ni hollywood star..... HATA OBAMA ALIFANANISHWA NA BRITNEY SPEARS NA PARIS HILTON baada ya nyomi ya watu kufurika kwenye mikutano yake. Mie nashauri vijana wengi jitokezini kupiga kura ili kuwashangaza watu wenye mawazo ya kale.
John McCain Ad Compares Barack Obama To Britney Spears, Paris Hilton - MTV
 
Moja ya ahadi za Lowassa ni kwamba ndoto yake ya safari ya matumaini ambayo sasa ni safari ya uhakika,ameahidi kumtoa gerezani Babu Seya,hivi huyu atakuwa rais wa aina yake ambaye kwake hata kukaa juu ya sheria ni sawa,na hilo aona litkuwepo kwenye ilan ake a Ukawa, hapo naona kama rais amejitwisha jukumu la mamlaka zingine.
 


Kwani Marais wote waliopita waliwasamehe wafungwa waliohukumiwa pasinakuwa ushahidi? Kuna mazingira ambayo rais anakuwa ni zaidi ya mahakama. So kwa rais kumtoa mfungwa gerezani ni jambo dogo.
 
Kumtoa mtu si kwa mabavu ..ila anaweza kuunda tume ya majaji kuchunguza kilichotokea......
 
oh salima! nimemis hiki kibao.

Lowassa pliz tutolee babuseya wetu maana katiba itakuruhusu kufanya hivo
 
Tutafurahi akiwatoa wafungwa wote magerezani sio mmoja tu wengine hatawatendea asipowatoa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…