palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,463
Waziri mkuu aliejiuzulu,bwana Edward Lowassa amekanusha kutangaza ni ya kugombea uraisi na badala yake amesisitiza kuwa ameshawishika lakini hajatangaza nia.
Hapa namnukuu,"Nimeshawishika lakini sijatangaza nia".
Mh.Lowassa pia ameongeza kuwa anasubiri wakati wa kufanya hivyo ufike(chama kitangaze).
Chanzo:Channel 10.
Hii ni kauli standard ya watia nia ndani ya ccm - Pinda na wengine wanaotumia pia.Waziri mkuu aliejiuzulu,bwana Edward Lowassa amekanusha kutangaza ni ya kugombea uraisi na badala yake amesisitiza kuwa ameshawishika lakini hajatangaza nia.
Hapa namnukuu,"Nimeshawishika lakini sijatangaza nia".
Mh. Lowassa pia ameongeza kuwa anasubiri wakati wa kufanya hivyo ufike(chama kitangaze).
Chanzo: Channel 10.
He hao masheikh 50 wametumwa na nani?na kakubali kugombea sababu ya hao masheikh kutoka Bagamoyo,amekubali ombi la hao masheikh wa Bagamoyo ili tuamini kuwa ni chaguo la Kikwete,kwa kuwa hao masheikh ndio anao swali nao Mh raisi kwa hiyo wana sikio la raisi,huo ni ujanja wa kitoto sijui washauri wake huyu Mheshimiwa IQ zao zikoje kwani kama hawa ndio washauri wake mbona akikukwaa uraisi tutakuwa na shida,walianza wamachinga,wamekuja masheikh na sasa wanavyuo,imekuwaje wote hao wafanye jambo moja katika kipindi kimoja utadhani maandamano ya kuunga mkono ''Azimio la Arusha'' na wote eti hutoa fedha za kumsaidia,nani kawaambia Edo hana fedha ya kumwezesha,ni fedha ngapi katoa makanisani,misikitini na kwingineko?kwa wasiojua hizo ni mbinu za tisha nyau kwa CCM ili kuonekana Mh anapendwa na CCM isipomteua itakuwa imefanya makosa,ni kama kui ''blackmail''CCM.Wagombea kama hawa ndio mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam Dr Kamata anawaita ''Vifurushi'' ni kama zile bundle za kwenye simu za mkononi unaambiwa hiki kifurushi ni cha GB 1 na ni unlimited,ukilala na kuamuka baada ya kutumia 200 MB tu unaambiwa kifurushi kimeisha.Huu sasa ushakuwa wenda wazimu!!Taarifa zilizopo ni kwamba hata hizo shilingi 700,000 amezitoa yeye mwenyewe
Hata hao masekhe kawatafuta yeye kawapa nauli na hela kuacha nyumbani kwa mda wa mwezi mmoja.
Labda John Okello na wenzake akina Ocampo four, Funza na Minyoo bila kumsahau Pasco
He hao masheikh 50 wametumwa na nani?na kakubali kugombea sababu ya hao masheikh kutoka Bagamoyo,amekubali ombi la hao masheikh wa Bagamoyo ili tuamini kuwa ni chaguo la Kikwete,kwa kuwa hao masheikh ndio anao swali nao Mh raisi kwa hiyo wana sikio la raisi,huo ni ujanja wa kitoto sijui washauri wake huyu Mheshimiwa IQ zao zikoje kwani kama hawa ndio washauri wake mbona akikukwaa uraisi tutakuwa na shida,walianza wamachinga,wamekuja masheikh na sasa wanavyuo,imekuwaje wote hao wafanye jambo moja katika kipindi kimoja utadhani maandamano ya kuunga mkono ''Azimio la Arusha'' na wote eti hutoa fedha za kumsaidia,nani kawaambia Edo hana fedha ya kumwezesha,ni fedha ngapi katoa makanisani,misikitini na kwingineko?kwa wasiojua hizo ni mbinu za tisha nyau kwa CCM ili kuonekana Mh anapendwa na CCM isipomteua itakuwa imefanya makosa,ni kama kui ''blackmail''CCM.Wagombea kama hawa ndio mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam Dr Kamata anawaita ''Vifurushi'' ni kama zile bundle za kwenye simu za mkononi unaambiwa hiki kifurushi ni cha GB 1 na ni unlimited,ukilala na kuamuka baada ya kutumia 200 MB tu unaambiwa kifurushi kimeisha.Huu sasa ushakuwa wenda wazimu!!
Taarifa zilizopo ni kwamba hata hizo shilingi 700,000 amezitoa yeye mwenyewe