Taarifa zilizopo ni kwamba hata hizo shilingi 700,000 amezitoa yeye mwenyewe
LowasaKila mtu anamponda lowasa mwizi mwizi,nchi hii kiongozi gan cyo mwizi?
Taarifa zilizopo ni kwamba hata hizo shilingi 700,000 amezitoa yeye mwenyewe
mara mia lowasa kuliko jk.Lowasa hafai kuwa Rais wa Tanzania. Atasababisha wananchi wale nyasi
Msimhusishe JK na tamaa ya madaraka ya fisadi Lowasa. Lowasa hauziki hata kwa senti tano
Alafu kawanunua mashekh wa bagamoyo kisha anamsingizia Prof; Dr; Jakaya M. Kikwete eti ndiye kamtumia ujumbe mzito wa hao mashekh. Mbinu chafu hizo na ni kumsingizia mhe. Rais kwani tunajua mhe. Rais hajafanya hivyo
mkuu kama jk ameweza kuwa rais wa nchi hii sembuse lowasa?Huyu bwana anatupa mashaka maana anatumia nguvi nyingi sana kutaka kuingia Ikulu.
Ninawashangaa sana wanaomuunga mkono huyu bwana bila kujiuliza ana nia gani hasa na hii nchi.
Taarifa zilizopo ni kwamba hata hizo shilingi 700,000 amezitoa yeye mwenyewe
hata mjitekenye vipi, lowasa ndo chaguo la watanzania. Hakuna mwenye uwezo wa kushindana na lowasa ndani ya ccm kamwe.Lowasa mali chakavu kabisa.
Msimhusishe JK na tamaa ya madaraka ya fisadi Lowasa. Lowasa hauziki hata kwa senti tano
Lowasa hafai kuwa Rais wa Tanzania. Atasababisha wananchi wale nyasi
kwani huyo aliyepo ana usafi gani?Mwizi anaitaka ikulu akaibe vizuri. Tanzania nani katuloga?
Ccm sio wajinga kumpitisha huyu fisadi wameona madhara ya anaepumzika alivyousaka urais kwa uchu mkubwa.
Ila ni haki yake kikatiba pamoja na kwamba hana sifa za kuwa Mgombea wa ccm
mkuu waambie hao!Pigeni kelele tu mwezi wa kumi na moja anahapishwa kuwa rais, lowasa is unstopable
Pigeni kelele tu mwezi wa kumi na moja anahapishwa kuwa rais, lowasa is unstopable