Lowassa: Nimeshawishika, Nitagombea urais...!

Alafu kawanunua mashekh wa bagamoyo kisha anamsingizia Prof; Dr; Jakaya M. Kikwete eti ndiye kamtumia ujumbe mzito wa hao mashekh. Mbinu chafu hizo na ni kumsingizia mhe. Rais kwani tunajua mhe. Rais hajafanya hivyo
 
Kama Hao Masheikh Wa Bagamoyo Hela Ya Kununulia NDALA ( Kandambili ) Tu Hawana Leo Wawe Na Ubavu Wa Kuchangishana Hizo Tsh Laki Saba? Hakika Wajinga Ndiyo Waliwao!
 
Hata hao masekhe kawatafuta yeye kawapa nauli na hela kuacha nyumbani kwa mda wa mwezi mmoja.

Sina Hakika Kama Hao Ni Masheikh Kweli Bali Nimepata Taarifa Kuwa Hao Ni Waganga Wake Maarufu Aliokuwa Nao Semina Elekezi Bagamoyo.
 
Ccm sio wajinga kumpitisha huyu fisadi wameona madhara ya anaepumzika alivyousaka urais kwa uchu mkubwa.
Ila ni haki yake kikatiba pamoja na kwamba hana sifa za kuwa Mgombea wa ccm
 
Alafu kawanunua mashekh wa bagamoyo kisha anamsingizia Prof; Dr; Jakaya M. Kikwete eti ndiye kamtumia ujumbe mzito wa hao mashekh. Mbinu chafu hizo na ni kumsingizia mhe. Rais kwani tunajua mhe. Rais hajafanya hivyo

Halafu Alivyo Strategist Kavizia MSHUA Hayupo Nchini Ndiyo Na Yeye Kawatilia Maguu Wana Bwagamoyo Na Kuwapa Sumu Zilizowaingia.
 
Huyu ndiye kiongozi astahiliye kulivusha taifa la Tanzania kutoka hapa tulipo kuelekea kipindi cha matumaini kwa Wananchi,
VIVA LOWASSA
VIVA TANZANIA
 
Maaskofu wezi itakua lowasa,
kura umepata kamanda lowasa bado kuapishwa tu.
 
Ccm sio wajinga kumpitisha huyu fisadi wameona madhara ya anaepumzika alivyousaka urais kwa uchu mkubwa.
Ila ni haki yake kikatiba pamoja na kwamba hana sifa za kuwa Mgombea wa ccm
Atatimkia act muda utakapofika.
 
Bagamoyo kuna kitega uchumi gani hadi masheikh wapate laki 7 za kumpa lowassa
 
Watanzania tumeshindwa kuisimamia na kuipigania katiba ya mzee wetu Warioba na tume yake sasa tuna hofu ya nini!
Kama tungeweka vizuri na wazi kwenye katiba; misingi,maadili na madaraka ya viongozi tusingehofia chochote kwa maana yeyote atakayeingia madarakani angeongozwa na misingi hiyo lakini kwa hivi sasa ni vurugu tu katika katiba hii inayopendekezwa,hata mimi nikiingia ikulu au katika uongozi wowote nitaamua utaratibu wangu unaonifurahisha katika kuongoza.
 
Alafu kawanunua mashekh wa bagamoyo kisha anamsingizia Prof; Dr; Jakaya M. Kikwete eti ndiye kamtumia ujumbe mzito wa hao mashekh. Mbinu chafu hizo na ni kumsingizia mhe. Rais kwani tunajua mhe. Rais hajafanya hivyo
Siyo mbinu hizo hizo zilitumika 2005?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…