Lowassa: Nimeshawishika, Nitagombea urais...!

Jifanye tu kipofu, hauziki wakati unaona kila kona ni Lowassa tu..... Ngoja nikutumie ripoti ya chama na ripoti ya usalama mwezi wa january manake ile ya Twaweza mlisema kachakachua

CCM ikimpitisha lowassa utakuwa ushindi mkubwa Kwa UKAWA , maana kazi ktk majukwaa Ya kampeni itakuwa rahisi Sana , nikuwakumbusha wosia wa baba wa taifa , Na asiye sikia mkuu......
Kura Ya malecela Na wengineo mnawajua zitaenda ukawa Na CCM itakufa auto death!
 
Lowassa bogus hana akili awe rais wa nani.mungu tuepushe na hili jambazi.
 
ccm leteni mtu mwenye upeo kama alivyokuwa mzee mkapa mnaweza kushinda.mkimleta huyo kichwa maji lowassa mmeumia.
 

Nafikiri sio jambo jema mashekhe kwenda kumshawishi mtu agombee uongozi serikalini...maana naamini sio waamini wote wangependa mtu fulani ila hao mashekhe wanawakilisha waamini wote wakati ilo swala ni la mtu binfsi..viongozi wetu wa dini ndio wanachangia kabsaa kufanya hii nchi iendelee kuwa na uongozi mbovu sababu ya njaa zao...kuna kiongozi mmoja aliwai sema raisi huyu aliopo madarakani ni chaguo la Mungu..mfyuuuu matokeo yake huyo kiongozi juzi juzi tumeona yuko kwenye mgao wa escrow mfyuuuu tena
 
Lowassa hana uwezo wa kuongea la maana mbele za watu.tangu nimfahamu huyu jamaa sijawahi kumsikia akiongea lolote la maana si ndani ya nchi wala nje.kwa kifupi huyu ni kilaza hatuwezi kuwa na rais ambaye si msomi mzuri na ambae hajiamini.
 
Mkitaka kujua lowassa ni mweupe kichwani ombeni tupate midahalo kama miwili hivi au mitatu na maswali ndio mtajua kuwa mnapeleka kiazi ikulu.
 
Kwa kweli,hii nchi yetu inatakiwa kuingia kwenye maajabu ya ulimwengu,iweje mtu aliyeushndwa uwazir mkuu na akajiuzulu,leo tumuamini na tumpe dhamana ya kuwa rais wetu jamani?

Unajua muda mwingine usifikirie kwa kutumia m*k*l*o hakujiuzulu kwa kushindwa uwaziri mkuu, bali alijiuzulu ili kuonyesha demokrasia ya kweli, au hujasikia kuhusu Escrow? wabunge wameitaka ile kamati imtake radhi lowassa na kumsafisha, sasa wewe sijui huna redio au tv, na habari ya mjini ni kwamba LOWASSA NDIYE RAIS AJAE, mtake msitake pichu ziwabane..!!
 
Hivi huu utamaduni wa kuchangiwa pesa za kuchukua form una tija gani? Maana hata Filikunjobe kachangiwa. ni kweli mgombea anakosa pesa za kuchukulia form??? Jamani watanzania, tunaowahitaji wengi tuuze sura zetu huko sio kwa wanasiasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…