Lowassa: Nimeishafunga magoli ya urais

MAONI YANGU
Ni magoli gani aliyoyafunga huyu FISADI hadi anafika hatua ya kutamba kiasi hiki? Je, anadhani kwamba fedha zake za wizi zinaweza kumnunua kila mtanzania?

:israel:

Mifedha sema yetu si yake, ila itawanunua si wote lakini wengi.... Midanganyika bwana...mh!!
 
Kupunga mkono mpaka apumzike, wakati wa anaongea hakuna kugeuka kama sanamu. Hakuwa hivi wakati wa Richmond.
 
Hivi kwanini huwa humalizagi dozi za uchizi? U nadhani bila kumalizia dozi kichaa kitakupona?

Ona sasa unaongea mambo ambayo hata hayapo mbaya zaidi huna hata elimu angalau kichaa ningekua balanced

Go to school loosed


ENL the President 2015

Labda nikuulize, vipi wewe ushamaliza ile yako? Maana nadhani tulikutana dirishani wakati wa kuchukua dawa...unadhani aogee sabuni gani ili awe msafi.
 
Mwakyembe said Msabaha was reported to have told MP’s that he had no powers on the irregularities because the company belonged to the ‘big boss’, meaning the Prime Minister. “I am only taken as `Bangusilo,` meaning in the Zaramo language, a ‘sacrificial lamb’ to die for others” – Guardian.
 
Halafu haya majiyu ukiyauliza mtia nia wanayemtaka utasikia UKAWA! Ukawa ni nani? Hata jina hawana na hawajui wanamtaka nani. Kila siku EL EL EL!

endelea kujipa matumaini feki ya muda. mafisadi wa CCM hamna nafasi tena mioyoni mwa watanzania waliojikatia tamaa ya maisha kutokana na udokozi wa mali za umma unaofanywa na nyinyiemu.
 
Last edited by a moderator:
Kupunga mkono mpaka apumzike, wakati wa anaongea hakuna kugeuka kama sanamu. Hakuwa hivi wakati wa Richmond.

yaani huyo ukimchapa kibao tu ni umeua! ccm balaa gani hili mnataka kutuletea yairahi!
 
Kupunga mkono mpaka apumzike, wakati wa anaongea hakuna kugeuka kama sanamu. Hakuwa hivi wakati wa Richmond.

hahahaha! fisadi lowasa kwishney...afya mgogoro...hata hawezi kupanda ngazi za kuingia bungeni mpaka amuite mtu amshike mkono na kumpandisha ngazi. anataka aende kufia ikulu?
 

asante sana kwa kutuwekea kipande hiki mkuu. nadhani sasa wale misukule wanaopayuka kuwa lowassa hakuhusika na kashfa ya richmond wataupata ukweli. lowassa is a green snake in green grass.
 
Jambazi kuu linatafuta uenyekiti Wa majambazi..

Mungu yupi?usibebe dhambi kwa kumtetea fisadi.hivi huyu akipitishwa watu hawataguna kama alivyosema mwenyekiti wao?msitenge akili kwa kupofushwa na fedha.


Nendeni chooni mende anawasubiri.
 
yaani huyo ukimchapa kibao tu ni umeua! ccm balaa gani hili mnataka kutuletea yairahi!

wanataka akafie ikulu nchi ipate hasara ya kuandaa maziko ya kitaifa. sijui hasa hawa CCM ni nani aliyewaroga.
 
Last edited by a moderator:
Hivi huyu Msabaha yuko hai?!
 

Kiswahili kinakugonga sana pole hata uchambuzi wako unatokana na kutojua mambo. Kasahihishe kiswahili kwanza ndugu au karudie std seven.
 
ccm wana hali ngumu sana kuelekea kupata mgombea wao.lowasa amewanunua wajumbe karibu wote wa mkutano mkuu.
 
I can't imagine ni jinsi gani unavyoumia haswa unapojijua fika unajitahidi kupingana na ukweli unaouona zahir bin shahir!

I cant imagine jinsi unavyoruhusu akili yako kuongozwa na akili ndogo! Sioni ukweli wowote ambao unasema ninauona mkuu! Nchi hii haitaongozwa tena na mafisadi kama unavyotaka wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…