Lowassa: Nimeishafunga magoli ya urais

mtatukana sana,lakini Edo ndo rais, mtamchafua sana lakini Edo ataibuka mshindi

Loosers wanatapatapa lakini ukweli wanaujua japo ni mchungu kwao kwamba Lowasa ndiye rais wao.
 
unadhani wingi wa watu wanaohudhuria kumdhamini ndio utampeleka ikulu huyo fisadi anayenuka kila aina ya uchafu?
 
UNAPOTUHUMU MTU,
UJUE NA JINSI YA KUTHIBITISHA!
AMKA!! PELEKA VITHIBITISHO VYAKO MAHAKAMANI ,MAHAKAMA ZIPO WAZI ZINASUBIRI USHAHIDI WAKO,./i

unadhani hizo mahakama za CCM zinaweza kweli kuwadhibiti mafisadi wa CCM?
 
Fomu ya udhamini ya CCM inahitaji watu 30 tu. There is no way unaweza kuzidisha wadhamini katika fomu unayoiwakilisha CCM. Sasa magoli yepi kawafunga wenzake? Ndio maana Sita alirudisha fomu muda mfupi tu Kwani kupata wadhamini 30 wala sio kazi
 
Lowasa ni alianza na Mungu atamaliza na Mungu,God bless our president

mungu gani huyo anaeruhusu wizi na visasi? Kifupi Edward ameanza na shetani na atamalizana nae pale kamat kuu ya cc itakapotupilia mbali jina lake.
 
Lowassa amepoteza uaminifu miaka mingi sana
 
Fomu ya udhamini ya CCM inahitaji watu 30 tu. There is no way unaweza kuzidisha wadhamini katika fomu unayoiwakilisha CCM. Sasa magoli yepi kawafunga wenzake? Ndio maana Sita alirudisha fomu muda mfupi tu Kwani kupata wadhamini 30 wala sio kazi

yeye anazidisha ili kutafuta umaarufu wa kijinga. ni sawa na mwanafunzi anayesoma masomo ya DS na BAM kwa bidii huku akijitoa akili kwamba akiscore A+ atajaziwa S! ni sawa kabisa na huyu fisadi lowassa, mpenda sifa anayetafuta umaarufu uchwara kwa kuhonga wananchi wenye njaa kutumia fedha za wizi.
 
Inaonekana Lowassa anawanyima wengi sana usingizi maana kila kukicha jina lake lipo midomoni mwenu!! Na badooo subirini
 
Kusemwa sana kusikutishe, hata wewe mwenyewe unaweza ukaàndikwa sana kama unabisha siku moja amka hujavaa nguo alafu tembea nje zunguka mtaani alafu urudi nyumbani then uone kama hautaandikwa daily
 
Kuacha shughuli zako na kuanza kuandika kuhusu Lowasa ni goli pia!
 
hahahaha yan kama jamaa hatopita bhas kutakuwa na mambo ya hatari sana tena ya kimya kimya, na tena na wasiwasi na baadhi ya wagombea kupotea kabisa na wakija onekana wanasema wameghail kugombea
 
Magoli ya kisigino anayojifunga kila kukicha, ndo anamaanisha!
 
Last edited by a moderator:
hahahaha yan kama jamaa hatopita bhas kutakuwa na mambo ya hatari sana tena ya kimya kimya, na tena na wasiwasi na baadhi ya wagombea kupotea kabisa na wakija onekana wanasema wameghail kugombea

inasikitisha kuona watu ambao walipaswa kuwa gerezani wakitumikia vifungo vya maisha wapo majukwaani wakiusaka urais. nchi hii ni ya ajabu sana. na cha ajabu zaidi, hadi anadiriki kutaja jina la messi na ronald! huyu mzee si mzima hata kidogo...ule ugonjwa unaompeleka ujerumani kila mwezi umeishaanza kumtafuna akili...siku sio nyingi ataanza kuokota makopo jalalani.
 
Halafu haya majiyu ukiyauliza mtia nia wanayemtaka utasikia UKAWA! Ukawa ni nani? Hata jina hawana na hawajui wanamtaka nani. Kila siku EL EL EL!
 
lowassa ni JOKA LA MDIMU linalovizia rasilimali za taifa kwa kutumia kila hila chafu.
Wewe ndo bure kabisa.Ina maana JOKA LA MDIMU hulijui? Ngoja wenye joka lao wapitie hapa utaona cha mtema kuni.
 
Loosers wanatapatapa lakini ukweli wanaujua japo ni mchungu kwao kwamba Lowasa ndiye rais wao.

Raisi wa nini mkuu!? Labda atakuwa raisi wa familia yako, lakini sio watz tuliofikia ml 54! Kinachokupa kiburi ni kitu gani hadi ujiaminishe kwa atakua raisi!
 
Raisi wa nini mkuu!? Labda atakuwa raisi wa familia yako, lakini sio watz tuliofikia ml 54! Kinachokupa kiburi ni kitu gani hadi ujiaminishe kwa atakua raisi!

I can't imagine ni jinsi gani unavyoumia haswa unapojijua fika unajitahidi kupingana na ukweli unaouona zahir bin shahir!
 
Kamanda! Emmanuel Makaidi,kaishawambia UKAWA msihangaike na wagombea wa CCM mnawapigia kampeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…