OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
Eka malema
Nasubiri mapacha watatu waongoze nchi
Chenge PM
Rostam waziri wa pesa
Karamagi uchukuzi...
Eka malema
Nasubiri mapacha watatu waongoze nchi
Chenge PM
Rostam waziri wa pesa
Karamagi uchukuzi...
Leo Waziri mkuu wa zamani Mhe. Edward Lowassa alikuwa mkoani Kigoma katika mbio za urais akafanikiwa kupata zaidi ya wadhamini 11,000. Jana alipokuwa mkoani Tabora alipata wadhamini zaidi ya 13,000. Hili ni kubaliko la kutosha ndani ya jamii.

To me anakubalika, kila mtu na mtazamo wake mkuuhata Lucifer akitafuta uungwaji mkono atapata wengi kuliko Lowasa,Je huyu Ibirisi anakubalika?
Hivi wanapofika 450 wanaotakiwa hawezi kusimamisha zoezi mpaka awasumbue hao wote? Mbona anaanza kukiuka kanuni kungali mapema hivi? Hiyo ni dalili mbaya. Ni sawa na mtu anayejua uwezo wake wa kula nyama choma ni nusu kilo lakini kwa sababu mwenyeji anampenda hivyo akiweka kilo tano mezani lazima ale zote. Ni ulafi tuu.
Leo Waziri mkuu wa zamani Mhe. Edward Lowassa alikuwa mkoani Kigoma katika mbio za urais akafanikiwa kupata zaidi ya wadhamini 11,000. Jana alipokuwa mkoani Tabora alipata wadhamini zaidi ya 13,000. Hili ni kubaliko la kutosha ndani ya jamii.
Huyu ni fisadi tu, hana jipya wala hana tofauti na rafiki yake Kikwete. Ni DHAIFU mwingine huyu ambaye hastahili kupewa dhamana ya kuliongoza Taifa letu. Tumechoka kuongozwa na wasio na sifa ambao wanaifanya Ikulu yetu ni danguro la mafisadi na wapokea rushwa.
Ni ngumu kudhibiti kwa sasa, labda mbinu yao iliyoshindwa ni kumrestisha in peace ila wameshindwa
Lowassa nomaaaaaaaaaa!!!