Lowassa ni Nyota Gani?

Nyota yake ni ya kukataliwa na watu ndio maana Alikatwa!!
 
Hata muasisi wa chama chao Mzee Kingunge hakutajwa, ni Lowasa tu, Mungu azidi kukupa afya njema Edo
 
Na bado hawajaamini kuwa alihama ccm. Wanaomba arejee wampe hata umwenyekiti.
 

Ana nyota ya 'kiepe mayai, ndo maana kina baba nanihii wanamshobokea sana!
 
Hata Wema naye hutajwa sana...naye ana nyota gani?
 
Walengombe walikatwa mikia wanatokwa na mapovu kweli kweli wakisikia jina la lowassa
 
changia kwa kutoa hoja za msingi
siasa Sio chuki
 
Lowassa ana nyota ya chipsi anapendwa sana na watanZania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…