Lowassa ni mateso kwa Taifa

Hawana hoja tena jamaniiiii....Mbowe kamtoa kafara mwenzake kwa sababu ya shilingiii..jamani pesa kitu mbaya wamepotea na hawajui wanachotaka tena,sio ufisadi wala wanyonge,hicho wanachopigia debe leo cjui kinamsaidiaje mkulima kijijini,cjui mlala hoi anafaidikaje tena kwa kubwabwaja anakobwabwaja Lissu..bora Slaa kajiondokea maana angekua anaaaibika mchana kweupe
 
Sioni kosa kwa upinzani kuibuka na ajenda ya udikteta kama wanaona kuna viashiria vya udikteta. Kuna virusi vingi vinavyoweza kushambulia taifa na kulifanya dhaifu, ikiwa ni pamoja na ufisadi na udikteta. Kwa anayejua athari za udikteta hawezi kuushabikia. Kunyima uhuru wa mawazo ni kuzalisha kizazi kisichokuwa na uwezo wa kuhoji na kujisimamia. Watu wasio na uwezo wa kuhoji ndio wanaochangia ufisadi kwa kuingiza taifa katika mikataba mibovu. Tusipende kuzalisha Tanzania ya Maroboti, ya ndiyo mzee. Kila binadamu anaishi kwa kujifunza, kama kuna matukio ya kidikteta yanayokwaza watu watawala wetu wataelewa na kubadilika wakipewa ukweli
 

Huu umaskin wa akili mbya sana, yaan umaskin wa hii Tz aliyesababisha ni Lowassa! Tz tunasafar ndefu sana.hv lowassa ni tajiri wa ngap dunian??
 
View attachment 378262 View attachment 378266
Vipi hawa utawafanyaje?utawafungua kama Lowassa akifungwa.


swissme
uchaguzi gan wenye mafanikio kwa upinz
 
Ndiyo mana ni dictator uchwara kwa mfano bill gates ni bepari Ila manji ni bepari uchwara kwenye world level
 
Lowasa amesababisha CHADEMA ikose mvuto
Sasa zile kura milioni sita iliyosema tume zilitoka wapi? Kwani waliompigia Lowasa hawakuwa wamewasikia na propaganda zenu za ufisadi?
 
Kwanini Serikali ya CCM hamumfikishi Lowasa Mahakamani kwa ufisadi? Kitendo cha nyie kuishia kumsema majukwaani ndio maana huyu jamaa anazidi kupata wapenzi
 
Ukutaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Hakuna shaka kwamba Lowassa ana siri kubwa sana ambayo ni yeye tu na "wenye nchi" akiwemo JPM wanaijua. Sisi hatujui kinachoendelea. Binafsi nilishamuona kama mtu aliyekwisha kisiasa mara alipohama CCM. LAKINI nazidi kustaajabishwa na jinsi CCM wanavyomuinua kama suala lao kuu la kuhangaikia. Mpaka sasa siioni hiyo "sifa maalum" ya Lowassa kuweza kusumbua chama dola kiasi hiki. Si msemaji mzuri, hana mbwembwe za kiswahili wala hamwagi ahadi zisizo kichwa wala miguu. Certainly, the man must be privy to some nuclear class material that keeps that small club in the know frozen on their toes!
 
Lowasa amesababisha CHADEMA ikose mvuto

Ingekuwa hivyo kusingekuwa na hatua zote hizo kuzuia mikutano ya ndani na nje ya CHADEMA. Wala kusingekuwa na ajira za kumwaga kwa "makada" kufuatilia na kujibu hoja za mashabiki wa CHADEMA kwenye mitandao hasa hapa JF. Manake weshapoteza mvuto; hawawezi kushawishi mtu.
 
Inaonekana huyu mtu ana "mahaba" ya watu na wengine hawawezi hata kujizuia bila ya kumsema au kumtaja. Kama unataka akurudishie mahaba mpikie mkate wa mayai umpelekee. Usipate shida ya kuandika makala ya hadithi hiyo hiyo tu. Mara Lowassa ... handsome...Lowassa namchukia....Lowassa ana mahaba.... basi Lowassa Lowassa tu.
 
kwa kasema Kweli Lowassa ametuuliiia na nikipenzi cha watu wengi isipokuwa wachache tu
 
Umesema vema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…