Kumfananisha Lowassa na Magufuli ni kumvunjia Lowassa heshima.Lowassa ni mtu wa vitendo,mchamungu,mpenda haki ukimnyima anaitafuta,anauchukia umasikini wa watanzania na anapendwa na asilimia 90 ya watanzania.Sifa hizo Magufuli hana na kama anazo ni basi ni chache mno ambazo hazimfikii Lowassa.Kuhusu RICHMOND alishasema maagizo yametoka juu.