Lowasa ndio jembe la CCM, Richmond mwizi alikuwa Kikwete, Lowasa alibebeshwa aibu kulinda heshima ya nchni.
Lowasa ndio jembe la CCM, Richmond mwizi alikuwa Kikwete, Lowasa alibebeshwa aibu kulinda heshima ya nchni.
Ni kiongozi makini sana. Ana upeo mkubwa sana wa kufikiri na kutenda. Anathubutu na anawapenda watu wake. Majuzi akiwa katika kijiji cha Lolkisale Monduli Lowassa alisema yeye akiwa mbunge anakusudia kuliomba Baraza la Mitihani la Taifa(NECTA) ililiwaruhusu wanafunzi waliofeli kidato cha nne warudie mitihani. Kweli, Monduli wamepata kiongozi. Taifa linahitaji akina Lowassa wengi.Kama Lowassa, ninaamini kuwa ELIMU KABLA.....
Umetumwa wewe, huna hoja ya msingi. Kwani wakati yeye akiwa waziri mkuu wanafunzi walikuwa hawafeli? Kwa nini hakuliagiza Baraza la Mitihani liwe linawaruhusu wanaofeli kurudia mitihani? Lowassa alishachafuka hata ukimpeleka kumsafisha mto Yordan walikokuwa wanatakasika wakoma enzi zile EL hawezi kutakasika. Ujumbe kwako ndio huo.Ni kiongozi makini sana. Ana upeo mkubwa sana wa kufikiri na kutenda. Anathubutu na anawapenda watu wake. Majuzi akiwa katika kijiji cha Lolkisale Monduli Lowassa alisema yeye akiwa mbunge anakusudia kuliomba Baraza la Mitihani la Taifa(NECTA) ililiwaruhusu wanafunzi waliofeli kidato cha nne warudie mitihani. Kweli, Monduli wamepata kiongozi. Taifa linahitaji akina Lowassa wengi.Kama Lowassa, ninaamini kuwa ELIMU KABLA.....
Ni kiongozi makini sana. Ana upeo mkubwa sana wa kufikiri na kutenda. Anathubutu na anawapenda watu wake. Majuzi akiwa katika kijiji cha Lolkisale Monduli Lowassa alisema yeye akiwa mbunge anakusudia kuliomba Baraza la Mitihani la Taifa(NECTA) ililiwaruhusu wanafunzi waliofeli kidato cha nne warudie mitihani. Kweli, Monduli wamepata kiongozi. Taifa linahitaji akina Lowassa wengi.Kama Lowassa, ninaamini kuwa ELIMU KABLA.....[/QUOTE
Tigo wewe!!!
Lowasa aliyejiuzuru upm au?? Huyu huyu Lowasa rafiki wa Rostam! Akili yako ipo sawa lakini!!??!Ni kiongozi makini sana. Ana upeo mkubwa sana wa kufikiri na kutenda. Anathubutu na anawapenda watu wake. Majuzi akiwa katika kijiji cha Lolkisale Monduli Lowassa alisema yeye akiwa mbunge anakusudia kuliomba Baraza la Mitihani la Taifa(NECTA) ililiwaruhusu wanafunzi waliofeli kidato cha nne warudie mitihani. Kweli, Monduli wamepata kiongozi. Taifa linahitaji akina Lowassa wengi.Kama Lowassa, ninaamini kuwa ELIMU KABLA.....
Mko wengi sana mliotumwa kuja kupiga kampeni JF....wengine wamesambazwa wapi?Hapa mmeingia chaka....Lowasa ndio jembe la CCM, Richmond mwizi alikuwa Kikwete, Lowasa alibebeshwa aibu kulinda heshima ya nchni.
Mko wengi sana mliotumwa kuja kupiga kampeni JF....wengine wamesambazwa wapi?Hapa mmeingia chaka....