Hahaa wamemchoresha hadi basi
mbaya zaidi hakuwa na mtu wa kuongea nae
wenzie wote walikuwa wanazungumza na kucheka
Lowassa alikuwa tu amezubaa

Sasa kwa style ile,c kura watachakachuuua!!!!!!!!!
Yani kikao kinahairishwaaaa,wagombea hawatoi hata mawakala! Eeh!!

Mbona kila mtu katoa wakala mkuu au hukufuatilia mpaka mwisho.