Mbunge wa Monduli EL amewasili mchana huu jijini hapa kwa ndege ya kukodi ya Tanzair. Bado anapata ulinzi wa kutosha toka kwa serikali yetu kama kawaida na mchana huu amekwenda Tunduma kufanya huduma ya Mungu kama kawaida yake. Amealikwa na kanisa moja kwa ajili ya fundrising na kuna tetesi kuwa hata kanisa la Moravian limemwalika kwa fundrising ya upanuzi wa chuo kikuu cha TEKU.
Mzee karibu sana Mbeya yetu wana peoples Power na bila shaka umeona jinsi gani kijana wako Millya alivyochagua fungu jema.
Mzee karibu sana Mbeya yetu wana peoples Power na bila shaka umeona jinsi gani kijana wako Millya alivyochagua fungu jema.