Lowassa: Nataka kuwa Tajiri zaidi ya hapa!

Lowassa: Nataka kuwa Tajiri zaidi ya hapa!

1. WARIOBA anataka katiba yake ya wananchi kwa 100%. CCM inapinga rasimu ya Warioba. Warioba anaipigia kampen CCM.

2. MREMA anampigia kampeni Magufuli achaguliwe kuwa rais. Chama chake cha TLP kimesimamisha mgombea urais.

3. MAGUFULI amesema atakirudisha "kiwanda cha nguo" cha Tanelec. Tanelec inatengeneza bidhaa za umeme.

4. SLAA anatuambia alishiriki kuandaa ilani ya CDM ambayo Mh.Lowassa anaitumia kupigia kampeni. Dr.Silaa anamuunga mkono Magufuli na amesema Ilani ya chadema haizungumzii ufisadi.

5. Mh.Magufuli alipokua Himo aliwaambia wananchi wamchague MREMA jimbo la vunjo. Jimbo la vunjo pia lina mgombea ubunge kwa ticket ya ccm.

😳NGACHOKA MIE 😳
 
aah! EL Ni giniaz balaa! Ndio maana tunakuamini utuongozee nchi yetu maskini, ili utuonjeshe Ladha ya utajiri na tutambue kuwa Tanzania Si Mahali Pa umaskini!!


Wewe Ndie Rais Wetu!
 
Uadilifu si umaskini. Ccm imefanikiwa kuteka akili yako kukudanganya ili yeye aendelee kula
 
aah! EL Ni giniaz balaa! Ndio maana tunakuamini utuongozee nchi yetu maskini, ili utuonjeshe Ladha ya utajiri na tutambue kuwa Tanzania Si Mahali Pa umaskini!!


Wewe Ndie Rais Wetu!

Fanya kazi kwa bidii, Lowassa hawezi kukujaza pesa mfukoni, zaid atakutengenezea miundo rafiki kukurahizishia.

Hata nchi tajiri kama Japan hata muda wa kufanya mpenzi hawana sababu ya kufanya kazi, sasa kama wewe unasuburia utajiri wa Ndoto endelea kuota.
 
Hivi JF sasa hivi kuna jini linalokula comment zetu badala ya damu? uzi nilicomment 2 comments sizioni, itabidi tutawaachie wafuasi wa Padre mzinzi na maccm sasa hili jukwaa.

Wengine tushazoea hiyo hali...hyo ndo kazi ya mods sasa..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom