waongo na wazushi kama hawa, mods futilia mbali. jf yote tuungane kupambana na ccm, hi ndiyo imelazimisha hadi sheria inayotunyma uhuru wanajf ipitishwe kwa mizengwe, anayeichekea hii sheria na ccm afukuzwe tu jf.
Mkuu. We ni Nyani Ngabu kweli au una bifu na Nyani Ngabu? Naona tangu juzi umekazana kweli na comment hii hii. Samahani kama nimekukwaza lakini nauliza kwani naona umejifunga kibwebwe kuhakikisha watu wanafahamu kuwa Nyani Ngabu ndiye Richard Mugizi. Kuna ulazima wa kufanya hivyo?