Nipo nacheki kipindi maalum cha CCM,wakiwa kwenye mkutano wao mkuu Dodoma,wakitangaza namna Washindani wa kiti cha Urais kupitia CCM walivyoshinda,lkn Nashangaa Mh.E.N.Lowasa simuoni,sijui amekwenda wapi??.
sijamuona. sijui atakuwa ameenda wapi, jana usiku alikuwepo lakini leo hajakuwepo. labda yupo anapanga mipango yake ya maangamizi. tusubiri tuone wiki hii ikiisha bila surprise tujue amesalenda.
Nipo nacheki kipindi maalum cha CCM,wakiwa kwenye mkutano wao mkuu Dodoma,wakitangaza namna Washindani wa kiti cha Urais kupitia CCM walivyoshinda,lkn Nashangaa Mh.E.N.Lowasa simuoni,sijui amekwenda wapi??.
Jakaya kwenye Mkutano huu amefanya kazi ya Kizalendo sana kwa kweli Sikuitegemea hasa ya kuzuia yaliyoitwa Mafuriko, hii ndo kujivua Gamba bila ya kufukuzana wala kupigana. Asante sana Jasusi na Kachero wa Siasa za kibongo bongo