MZK
JF-Expert Member
- Sep 13, 2012
- 236
- 306
JJana Mji wa Kahama ulizizima kwa masaa kazaa pale kipenzi cha Mioyo ya Watanzania Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowasa na Wabunge wa Kanda ya Ziwa Waheshimiwa ,SALOME MAKAMBA MB., ESTHER MATIKO MB., JOYCE SAKOMBA MB. Walipowasili kwa ajiri ya Mkutano wa Kampeni ya Uchaguzi ktk Kata ya Isagehe, Wilayani Kahama.
Umati Mkubwa sana wa Wananchi walihudhuria mkutano huo
Zifuatazo ni Picha na video ktk Mkutano huu
Umati Mkubwa sana wa Wananchi walihudhuria mkutano huo
Zifuatazo ni Picha na video ktk Mkutano huu