eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,379
Kuna msemo unasema kumfukuza uliemkuta ni rahisi kuliko kumfukuza uliemweka wewe kwa kua ulimteua kwa ajili ya kulipa fadhila za kukupigia kampeni.
Anachofanya Magufuli ni kutoa wa zamani na kuweka wake ili kile atakachofanya kifanikiwe zaidi lakini anasahau ni watu walewale kutoka chama kilekile.
Mpaka sasa hajatekeleza ahadi yoyote ukiacha kufuta ada na michango mbalimbali anachofanya ni kutumbua vijipu tu na kutumbua vijipu na kutimiza ahadi ni jambo jingine.
Kama ni Lowassa na upinzani ungekuta JK na mkapa kesi zao zimaunguruma mahakamani kwa kuitia hasara nchi huku wakiwa wanajua kinachoendelea.