Baada ya kuona watanzania wameanza kuwasahau, wanaanza kuendeleza siasa kwenye misiba ili wapate newspapers front page headline.
Kichapo walichokipata kwenye sanduku la kura hawawezi kukisahau katika maisha yao.
Madaraka waliyonayo ndani ya CHADEMA ni pesa yao. Pesa inakupa chochote ndani ya CHADEMA.
Umeelewa swali langu? Sumaye na Lowassa wana mamlaka gani ndani ya CHADEMA? Uchaguzi ushakwisha, lakini inavyoonekana hakuna kikao muhimu cha chama kinachoweza kufanyika bila kuwahusisha. Kwani ugombea urais ni nafasi ya uongozi ndani ya CHADEMA? Na mbaya zaidi kila walipo viongozi wa CHADEMA wanamzunguka na kumnyenyekea Lowassa. Tuelezwe wawili hawa ni nani ndani ya CHADEMA?Eheee bhnaa ccm kumbe inawauma kuwepo lowassa na sumaye Chadema wale sio wana ccm na walisema ccm sio mama yao kwa hiyo wanaweza kuhama ila mama uwezi sema sio mama yako kwakua ndio aliekuzaa sasa acheni watimize wajibu wao wanachama wa upinzani
Digna37 hebu onesha tusi kwenye mada hii. Tatizo Peru wana CHADEMA hatutaki kusikia chochote kutuhusu. Tena sisi ndio tunaongoza kwa kashfa na matusi hapa jf. Swali langu ni la msingi kabisa na litabaki kuwa hivyo. Kwa nini CHADEMA ionekane imejengwa kupitia Lowassa badala ya kusimama kama taasisi? Who is Lowassa.Nashangaa sana mnapofatilia maisha yao kila siku. Nyie ni remote control mnataka ku control what they do daily? Kila siku mnawataja, kibaya mnatukana tukana tu hadi leo. Mungu awasamehe.
Wakuu, nimeshtushwa na taarifa ya habari inayosema. Viongozi wa juu wa CHADEMA watoa tamko kuhusu kifo cha Mawazo. Kilichonishitua no uwepo wa Sumaye na Lowassa kwenye kikao cha viongozi hao na hata kupata nafasi ya kutoa tamko. Naomba kujuzwa nafasi za wawili hawa katika CHADEMA.
Lowasa anawaumiza nn ilihali nchi mnaongoza nyie??? Kila siku Lowassa lowassa lowassa tumechoka na dhiaka zenu juu ya huyu mzee, mwamtakia nini? Mzee wawatu katulia nyie mnamchokonoa tu, mkiambiwa wachawi mtakasirika??? Manaboa
Baada ya kuona watanzania wameanza kuwasahau, wanaanza kuendeleza siasa kwenye misiba ili wapate newspapers front page headline.
Kichapo walichokipata kwenye sanduku la kura hawawezi kukisahau katika maisha yao.
Madaraka waliyonayo ndani ya CHADEMA ni pesa yao. Pesa inakupa chochote ndani ya CHADEMA.
Wakuu, nimeshtushwa na taarifa ya habari inayosema. Viongozi wa juu wa CHADEMA watoa tamko kuhusu kifo cha Mawazo. Kilichonishitua no uwepo wa Sumaye na Lowassa kwenye kikao cha viongozi hao na hata kupata nafasi ya kutoa tamko. Naomba kujuzwa nafasi za wawili hawa katika CHADEMA.
Kwa hiyo Mbowe alifika bei!!!??
Kuna mmoja humu anadai eti ni mlezi wa chama. Mimi hapa ndipo naiona nguvu ya pesa. Hawa kina Tundu Lissu ndio tuliowategemea wapambane na mafisadi bila kujali hali zao!!? Mbona hadi ikulu ingenunuliwa!!Ha ha ha..mie sina jibu..
Ninachojua lowassa alikuwa tu mwanachama wa kawaida, hakuwa na cheo chadema zaidi ya mgombea urais.
Sasa huo uongozi wa chadema na haya matamko anayatoa kama nani?