Lowassa na Sumaye wana madaraka yapi CHADEMA?

Lowassa na Sumaye wana madaraka yapi CHADEMA?

Mmiliki wa sasa wa CHADEMA ni Lowassa. Sumaye ni kama consultant wa CHADEMA ambayo inamilikiwa na Lowassa.

Mbowe kwa sasa ni kama manager tu. Kwa maana stakes za Mbowe na Mtei zote kanunua Lowassa.

da hahah we jamaa wewe acha kuchekesha watu tulionuna
 
hao kaka ni wamiliki wa chama ndio waliokinunua na kuwafukuza akina silaa...
 
wamesubiri ruzuku ya chama ianze kutoka ili warudishe chao wasepe.
 
CCM ndio watakaolia sana mpaka kufikia 2020.
Wananchi wengi watufurahi kufanikiwa au kushindwa kwa Magufuli.
Wasioipenda CCM ni wengi sana.
Kama chama kimetumia mbinu zote kubakia madarakani lakini bado kimeongoza kwa kura m.2 tu na kule zanzibar wameangukia kidevu tena chini ya katiba mbovu iliyopo basi ni dhahiri kuwa hiki chama kimechokwa sana.
Wanaishabikia CCM leo wako mbioni kulia huku wakitoa kicheko cha maumivu.
 
Wakuu, nimeshtushwa na taarifa ya habari inayosema. Viongozi wa juu wa CHADEMA watoa tamko kuhusu kifo cha Mawazo. Kilichonishitua no uwepo wa Sumaye na Lowassa kwenye kikao cha viongozi hao na hata kupata nafasi ya kutoa tamko. Naomba kujuzwa nafasi za wawili hawa katika CHADEMA.

Lowasa ni mfadhili sumaye A.K.A Mr zero Ni mshika briefcase ya Lowasa
 
Ila nyie CCM mna dhihaka sana naomba siku moja iwe kinyume chake mhisi uchungu huu nilionao. Hawa wazee wamezungumza point tupu halafu washenzi kama nyie Magamba mnawaporomoshea dhihaka na matusi ?????????????!! Naomba tu TUME HURU NA KATIBA MPYA.IPO SIKU MUNGU NI WA WOTE
I have so much respekt for Lowassa..he has always bn calm, wakati yupo ccm na hata baada ya kutoka ccm...ila huyu sumai simuelewi kabisa..hana msimamo, alisema Lowassa akisimamishwa atahama chama..ila cha ajabu, alimfuata lowassa kule alipohamia....
 
Mpaka leo lowassa anatajwa na kuandikwa kwenye media kama "mgombea urais". sasa sijui huo urais anaogombea ni wa kuongoza ng'ombe wake kule monduli au vp.
 
Mmiliki wa sasa wa CHADEMA ni Lowassa. Sumaye ni kama consultant wa CHADEMA ambayo inamilikiwa na Lowassa.

Mbowe kwa sasa ni kama manager tu. Kwa maana stakes za Mbowe na Mtei zote kanunua Lowassa.
Sumaye ni katibu mkuu wa chadema
 
Kama huna jibu tuliza kipago piga kimya acha wenye majibu waje
 
Lowasa ni kiongozi mkuu wa ukawa na chadema, na Sumaye ni msaidizi wake. Hivi ndivyo tunavyoambiwa kwwnye vikao vyetu. Kingunge ni mshauri wa propaganda za kinafiki wetu
 
Nampongeza sana Lowassa kwa uamzi wake was kujiunga na Chadema. Naona sasa anafaraja kubwa moyoni, afya take imeimarika sana ! Nimemsikiliza leo akiongea kwa afya na Sauti take asilia.

Hakika Mungu ni mwema.
 
Lowassa mtamkomatu hiyo ni namba nyigine na bado mnatumia mapolisi h?ta msiba loooo.ccm nyie .ebuyaone hayooo
 
Back
Top Bottom