Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,842
- 10,765
Wakuu, nimeshtushwa na taarifa ya habari inayosema. Viongozi wa juu wa CHADEMA watoa tamko kuhusu kifo cha Mawazo. Kilichonishitua no uwepo wa Sumaye na Lowassa kwenye kikao cha viongozi hao na hata kupata nafasi ya kutoa tamko. Naomba kujuzwa nafasi za wawili hawa katika CHADEMA.