Lowassa na Sumaye wametufikisha hapa Tanzania

Binti255

Senior Member
Nov 28, 2016
126
160
Sikilizeni ninyi....

Waambieni hao wanaosema kuwa ccm ndo imetufikisha hapa, Enzi ya Mhe Mkapa mshauri wake Mkubwa alikuwa SUMAYE, na enzi ya Mhe Kikwete wakati Madudu yanaanza Mshauri wake Mkubwa alikuwa LOWASSA.

LOWASSA na SUMAYE wamechangia kutufikisha hapa tulipo na haya ndio matunda yao ya USHAURI.

Kwa sasa kawaambieni CCM iko salama kabisa mana HAO hawako tena uku, wamekwenda kule CHADEMA kutoa USHAURI wa masuala ya MAHABA, mtazameni MBOWEE NA MCHUNGAJI MSIGWA MAISHA YAO.

HAMIA HUKU NI SALAMA
CCM OYEEEEE.......

bf761643e46aeb4816a9085d778f5a9c.jpg
 
Kweli kabisa mkuu
 
Lissu; Tunatakiwa kupeleka mikataba ya madini bungeni irekebishwe kushika mchanga sio suluhisho kwani kisheria madini na mchanga ni mali yao.

CCM; Lissu ni mwizi, anahongwa na ACCACIA

JPM; Tumelogwa na nani? tumeibiwa sana! Mikataba yote ipelekwe bungeni ipitiwe upya, waiteni ACCACIA wakiri kutuibia na walipe hela zetu

CCM; Heko Baba, Magufuli ndio messiah aliyetumwa na mungu!

Halafu kuna watu waita wenzao
 
Lakini hawajatajwa popote katika ripoti ya uchunguzi ya wataalamu wazalendo. Au na wewe ni mtaalamu mzalendo umekuja na uchunguzi wako?

Hawa walikuwa washauri wakuu na nimeliweka bayana ili mnapochonga kuhusu CCM basi litambulike na hili maana wachache walitaka kuiua CCM ila wameshindwa na kupata aibu ya mwaka.
 
Sikilizeni ninyi....

Waambieni hao wanaosema kuwa ccm ndo imetufikisha hapa, Enzi ya Mhe Mkapa mshauri wake Mkubwa alikuwa SUMAYE, na enzi ya Mhe Kikwete wakati Madudu yanaanza Mshauri wake Mkubwa alikuwa LOWASSA.

LOWASSA na SUMAYE wamechangia kutufikisha hapa tulipo na haya ndio matunda yao ya USHAURI.

Kwa sasa kawaambieni CCM iko salama kabisa mana HAO hawako tena uku, wamekwenda kule CHADEMA kutoa USHAURI wa masuala ya MAHABA, mtazameni MBOWEE NA MCHUNGAJI MSIGWA MAISHA YAO.

HAMIA HUKU NI SALAMA
CCM OYEEEEE.......

bf761643e46aeb4816a9085d778f5a9c.jpg
Kwani kati ya mshauri na mshauriwa nani ana mamlaka ya mwisho ktk kukubali jambo husika!? Nini nafasi ya makamu wa rais ktk kushauri mambo hayo!? Wako chama gani hao waliokuwa wakishauriwa na kukubali huo upuuzi!?. Ccm ni chama kisichostahili kuwa madarakani hata kwa sekunde moja zaidi.
 
Hujajibu swali, je wewe umekuja na uchunguzi mpya au unatumia uchunguzi wa wataalamu wa tume iliyoleta findings?
 
Kwani kati ya mshauri na mshauriwa nani ana mamlaka ya mwisho ktk kukubali jambo husika!? Nini nafasi ya makamu wa rais ktk kushauri mambo hayo!? Wako chama gani hao waliokuwa wakishauriwa na kukubali huo upuuzi!?. Ccm ni chama kisichostahili kuwa madarakani hata kwa sekunde moja zaidi.

Hivi haujishangai kuandika utoto huu hapo juu?!$
Hivi unatambua anayeichagua CCM ni nani?!
Nina mashaka utakuwa haujaoa wewe ndio maana haujui nafasi ya mshauri.
 
Hakuna mtu ambaye si Lowassa wala Sumaye anayeweza kuongea badala yao. Ukifika muda (kama wakihitajika) wa kuutoa utetezi wao, na wautoe. Nasisitiza, ninyi sisiemu hakuna aliye msafi na salama kwa mlipoifikisha nchi leo hii. Msimame mjitetee na wala si kusimama nyuma ya watu kujificha.

Huwezi kuhukumiwa kwa kosa alilotenda mtu mwingine na wala hupaswi kusamehewa eti kwa sababu ulishiriki uhalifu na mkubwa fulani. Kila mmoja abebe furushi lake!
 
Lissu; Tunatakiwa kupeleka mikataba ya madini bungeni irekebishwe kushika mchanga sio suluhisho kwani kisheria madini na mchanga ni mali yao.
CCM; Lissu ni mwizi, anahongwa na ACCACIA
JPM; Tumelogwa na nani? tumeibiwa sana! Mikataba yote ipelekwe bungeni ipitiwe upya, waiteni ACCACIA wakiri kutuibia na walipe hela zetu
CCM; Heko Baba, Magufuli ndio messiah aliyetumwa na mungu!

Halafu kuna watu waita wenzao Nyumbu!

Endeleeni kutunga upuuzi kwakuwa twafahamu akili zenu basi hatuna tatizo nanyi.....wahenga walisema 'paka ukimjua jina.......'
 
Sikilizeni ninyi....

Waambieni hao wanaosema kuwa ccm ndo imetufikisha hapa, Enzi ya Mhe Mkapa mshauri wake Mkubwa alikuwa SUMAYE, na enzi ya Mhe Kikwete wakati Madudu yanaanza Mshauri wake Mkubwa alikuwa LOWASSA.

LOWASSA na SUMAYE wamechangia kutufikisha hapa tulipo na haya ndio matunda yao ya USHAURI.

Kwa sasa kawaambieni CCM iko salama kabisa mana HAO hawako tena uku, wamekwenda kule CHADEMA kutoa USHAURI wa masuala ya MAHABA, mtazameni MBOWEE NA MCHUNGAJI MSIGWA MAISHA YAO.

HAMIA HUKU NI SALAMA
CCM OYEEEEE.......

bf761643e46aeb4816a9085d778f5a9c.jpg

Sidhani kama hili jambo / suala linahitaji liwe sana na Mhemko wa Kisiasa badala yake nadhani kama Great Thinkers wa ukweli wa JF tungejikita katika kulijadili Kiuzalendo zaidi ili tuweze kupata Ufumbuzi wake ambao unaweza ukawa wa kudumu ili hawa Watoto, Wajukuu na Vitukuu wetu na Watanzania wa Vizazi vijavyo wasije wakayapiga Makaburi yetu pale ambapo tukiwa tumeshatangulia mbele za haki a.k.a Kufa / Kufariki.

Unasema kuwa Lowassa na Sumaye ndiyo wametufikisha hapa tulipo leo ila nikuulize tu swali wale Watendaji wote ambao wametajwa jana na Professor Osoro kwa sasa wengi wao bado ni Wanachama wenzetu wa CCM au wapo UKAWA hasa hasa CHADEMA? Nadhani kama ni Uchafu uliotukuka wa Watendaji wabovu na ambao wamesababisha yote haya bado wapo katika Chama chetu Tawala cha CCM.

Mimi ni Mshabiki wa Kutukuka kabisa wa CCM ila siwezi kukubali Ujinga na Upumbavu eti kwa Kigezo cha Chama Kwanza badala yake Mimi nataka na napenda Haki na Ukweli Kwanza na namshukuru Mwenyezi Mungu sana kuwa hajaniumba na Moyo wa Kinafiki na ndivyo Mtu anayejua Siasa kweli anatakiwa kuwa kuliko kujikita zaidi na kila siku katika Kufanya tu Propaganda ambazo wala hazisaidii kuiletea nchi yetu hii Maendeleo.
 
Back
Top Bottom