CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,358
- 6,422
Habari za uvumi toka Ar zinasema ex mp wa tz awamu ya 4a alionekana jana kanisani kwa Ngurumo akiwa na bible plas tenzi za rohoni.EL alionekana akiwa viti vya mbele pia alisikika zaidi wakati wa mapambio kushinda wenzake.Pambio lenyewe lilimbwa Sitarudi tena Misri naenda kanani.Baadaye alionekana akiongozwa sala ya toba huku akitoa ahadi jpili ijayo atatoa ushuhuda wa kufedheheshwa sana kuaibishwa sana kusemwa sana.na pia atajiunga na kwaya ya wazee na atakuwa mweka hazina.JE MWANA JF HILI LIMEKAAJE
Vyovyote na viwavyo, huyu si msafi amewaibia watanzania sana. Wala hatasamehewa yeye na vizazi vyake. Mungu huyo anayemuamini kama ni wa haki, hatamsamehe mpaka arudishe mali ya watanzania aliowaibia.